Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

sharafu

Senior Member
Joined
Jun 1, 2020
Posts
121
Reaction score
137
Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.

Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=

Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
 
Poa tu sababu michango ni kwa wanaojuana sioni shida
 
Mwambie amechelewa angekutafuta wakati anatafuta Karo / Fee za hio Master.., na hizo pesa za ukumbi mwambie asipoteze apike chakula awaite ndugu zake au kama vipi awaambie mkutane Bar na kuwanunulia nyama vinywaji kila mtu atoe mfukoni kwake...

Furaha yako isiwe kero kwa wengine, kwa kufanya hivyo ni kama ameweka kiingilio kwenye issue ambayo hata kuja kwenu bado ni kujitolea...
 
Mwambie amechelewa angekutafuta wakati anatafuta Karo / Fee za hio Master.., na hizo pesa za ukumbi mwambie asipoteze apike chakula awaite ndugu zake au kama vipi awaambie mkutane Bar na kuwanunulia nyama vinywaji kila mtu atoe mfukoni kwake...

Furaha yako isiwe kero kwa wengine, kwa kufanya hivyo ni kama ameweke kiingilio kwenye issue ambayo hata kuja kwenu bado ni kujitolea...
Ulofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo hadi sauti inakauka ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga

Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la Yesu
 
usenge kama huo sichangi. nitachanga matibabu, masomo au msiba. mambo ya maana watz hatuchangishani ujinga ndio tunachangishana. kuna wasenge ndugu zangu kipindi nahangaika safari kuja nje nawaomba mchango walikua hata jumbe hawajibu. haohao leo wananitumia whatsapp text kuomba michango. huwa nawajibu majibu ya kibedui
 
Michango sio kwenye shida tu na kwenye furaha pia wewe

Mbona wengine tunachangia vyote kwenye koo zetu ada tunachangia,misiba tunachangia ,matibabu tunachangia na sherehe tunachangia na tunafurahi tu kuchangia

Ukoo wenu huo ni wa malofa na hawana mshikamano . Ona sasa wamekuambukiza na wewe pepo la roho mbaya yao iliyomo ndani yao.Wangekuchangia safari yako ya nje wewe sasa hivi hata sherehe yeyote iwe ya graduation,au ya mtoto kutoka jando nk ungekuwa unachangia bila kinyongo.Wamekuharibu
 
Michango sio kwenye shida tu na kwenye furaha pia wewe

Mbona wengine tunachangia vyote kwenye koo zetu ada tunachangia,misiba tunachangia ,matibabu tunachangia na sherehe tunachangia na tunafurahi tu kuchangia

Ukoo wenu huo ni wa malofa na hawana mshikamano . Ona sasa wamekuambukiza na wewe pepo la roho mbaya yao iliyomo ndani yao.Wangekuchangia safari yako ya nje wewe sasa hivi hata sherehe yeyote iwe ya graduation nk ungekuwa unachangia bila kinyongo.Wamekuharibu
We nae ndo wale wale wa kuchangisha michango ya birthday
 
Mambo mengne ni rahisi tu na haina haja ya kuaibisha watu km unaweza kuchangia basi fanya ivyo na km unaona huwezi changia bas potezea haina haja ya kuzalilisha watu kwa maamuzi yao binafsi

Unaweza fanya huwezi acha basi kutafta maoni ya watu ili kumzalilisha mtu sio poa
 
Back
Top Bottom