Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

Ulofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga

Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la Yesu
A Fool and his Money, are Soon Parted....

Unadhani wenye pesa wakizitoa willy nilly bado wangekuwa nazo ? Bora nitoe milioni moja kwa vitu constructive (kumpa hata mtu asiye na chakula) kuliko sumni kwa vitu visivyo tija....
 
Juzi nlikutana na jamaa ni muha..hatujuani kiivo ila kaanz kulitelea story mara ameenda kwa wakwe wanataka mahari Milion 1 ila yeye ana nusu yake tu...Sasa anataka hyo nusu nyingine tumchangie....aysee ndo nliona kituko Cha mwaka...Sasa kama mahari umeshindwa kutoa huyo mtoto wa mtu atawezaje kuishi nae?
Hatari, nliwah mkopesha mtu aongezee katka mahari yake, akaingia mitini na pesa yangu. Ngawa na ndoa haikudumu
 
Mambo mengne ni rahisi tu na haina haja ya kuaibisha watu km unaweza kuchangia basi fanya ivyo na km unaona huwezi changia bas potezea haina haja ya kuzalilisha watu kwa maamuzi yao binafsi

Unaweza fanya huwezi acha basi kutafta maoni ya watu ili kumzalilisha mtu sio poa
Hajatajwa mtu hapa ndugu. Kumdhalilisha mtu ni kumtaja au kuweka picha yake hapa.
 
Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.

Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=

Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Hizi ni sherehe za ovyo kabisa. Mwache asherekee yeye mwenyewe pamoja na familia yake asituchoshe na michango isiyokuwa na kichwa wlaa miguu.
 
Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.

Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=

Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Mwambie hasisumbue watu, graduation huwa haichangiwi.
 
Kwenu ndiko graduation huwa haichangiwi kwetu huwa tunachangia

Utoe tu kadi isirudi tu
Unajionaje kuchangisha sherehe za namna hiyo ikiwemo birthday. Kwa nini kama kama unazipenda sana hizo sherehe, why usijipange mwenyewe then ukafanya ukaribisho tu kwa watu kuhudhuria, ili atayepata nafasi afike atayekosa basi. Kuliko ukose hiyo michango kwa watu wasioona umuhimu wa vitu hivyo then ukabak kuwachukia bure, kumbe sherehe zenyewe za kidwanzi.
 
Unajionaje kuchangisha sherehe za namna hiyo ikiwemo birthday. Kwa nini kama kama unazipenda sana hizo sherehe, why usijipange mwenyewe then ukafanya ukaribisho tu kwa watu kuhjdhuria, ili atayepata nafasi afike atayekosa basi. Kuliko ukose hiyo michango kwa watu wasioona umuhimu wa vitu hivyo tjen ukabak kuwachukia bure, kumbe n
Sherehe mtu hula na wakwao watu hawakosekani hata uchangishe mchango wa ngoma za kutoa mwali, kigodoro,kibati ,kangamoko au mdundiko nk wako wenyewe ambao shughuli ni watu na watu ndio wenyewe hao na watachanga hata zaidi ya pesa ya kwenye kadi utashangaa tu watu kibao utabaki domo wazi na ubahili wako na roho mbaya kuwa Sherehe ya mtu isifanikiwe

Utashangaa watu wanaserebuka kwa furaha na Wimbo wa Jogoo kichwani mgumu kumvalisha kilemba hakikai
 
Michango sio kwenye shida tu na kwenye furaha pia wewe

Mbona wengine tunachangia vyote kwenye koo zetu ada tunachangia,misiba tunachangia ,matibabu tunachangia na sherehe tunachangia na tunafurahi tu kuchangia

Ukoo wenu huo ni wa malofa na hawana mshikamano . Ona sasa wamekuambukiza na wewe pepo la roho mbaya yao iliyomo ndani yao.Wangekuchangia safari yako ya nje wewe sasa hivi hata sherehe yeyote iwe ya graduation nk ungekuwa unachangia bila kinyongo.Wamekuharibu
huenda ikawa kweli sikupingi. watz na mshikamano wapi na wapi. sisi kunafikiana.
 
Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.

Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=

Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Money is the source of many evils!!
 
Back
Top Bottom