- Thread starter
- #41
Mbona matusi tena, hukulelewa kudumu na tabia njema. It seems akili zako waruwaru, no reasoning!!Sherehe mtu hula na wakwao watu hawakosekani hata uchangishe mchango wa ngoma za kutoa mwali, kigodoro,kibati ,kangamoko au mdundiko nk wako wenyewe ambao shughuli ni watu na watu ndio wenyewe hao na watachanga hata zaidi ya pesa ya kwenye kadi utashangaa tu watu kibao utabaki domo wazi na ubahili wako na roho mbaya kuwa Sherehe ya mtu isifanikiwe