😀😀🤣🤣🤣🤣🤣
Poa tu sababu michango ni kwa wanaojuana sioni shidaJamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
🤣🤣Huyu ni chekechea kabisa..
😂 HatariDunia imekuwa ya kijinga sana
Usipochanga unanuniwa
Ulofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo hadi sauti inakauka ungeambiwa mchango milioni si ungejinyongaMwambie amechelewa angekutafuta wakati anatafuta Karo / Fee za hio Master.., na hizo pesa za ukumbi mwambie asipoteze apike chakula awaite ndugu zake au kama vipi awaambie mkutane Bar na kuwanunulia nyama vinywaji kila mtu atoe mfukoni kwake...
Furaha yako isiwe kero kwa wengine, kwa kufanya hivyo ni kama ameweke kiingilio kwenye issue ambayo hata kuja kwenu bado ni kujitolea...
Usiwe mvivu kufikiri. Hoja hapa sio kiwango bali ni essence ya mchango. Soma aya ya nwishoUlofa unakusumbua yaani mchango wa elfu 50 unaandika maneno yote hayo ungeambiwa mchango milioni si ungejinyonga
Kemea Pepo la umaskini likutoke kwa Jina la Yesu
Michango sio kwenye shida tu na kwenye furaha pia weweusenge kama huo sichangi. nitachanga matibabu, masomo au msiba. mambo ya maana watz hatuchangishani ujinga ndio tunachangishana. kuna wasenge ndugu zangu kipindi nahangaika safari kuja nje nawaomba mchango walikua hata jumbe hawajibu. haohao leo wananitumia whatsapp text kuomba michango. huwa nawajibu majibu ya kibedui
We nae ndo wale wale wa kuchangisha michango ya birthdayMichango sio kwenye shida tu na kwenye furaha pia wewe
Mbona wengine tunachangia vyote kwenye koo zetu ada tunachangia,misiba tunachangia ,matibabu tunachangia na sherehe tunachangia na tunafurahi tu kuchangia
Ukoo wenu huo ni wa malofa na hawana mshikamano . Ona sasa wamekuambukiza na wewe pepo la roho mbaya yao iliyomo ndani yao.Wangekuchangia safari yako ya nje wewe sasa hivi hata sherehe yeyote iwe ya graduation nk ungekuwa unachangia bila kinyongo.Wamekuharibu
Je nkiwa nayo ila nkamwambia sioni umuhimu wa hiyo sherehe?Kama unayo toa kama huna sema hauko vizuri...