Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

Mbona matusi tena, hukulelewa kudumu na tabia njema. It seems akili zako waruwaru, no reasoning!!
 
Sielewi Wabongo huwa tunaenda kusoma ili tupate nini? Msomi wa Masters unakosaje hata common sense?
Ukiwa na common sense utakuwa mtu common sana wa kawaida mno kunahtajika mtu kuwa na akili above common sense kufanya mambo makubwa

Na wewe kama una common sense kichwa chako kibovu yaani ulienda kusoma ili uwe na common sense pole

Umepoteza muda kusoma
 
Shem lake kumbe upo inje!! Na mimi unanipeleka lini huko nje?
 
Kama sio muhaya sijui tu,, bora huyo anasherehekea masters, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kuna familia wiki 2 zilizopita imeitisha mchango kwa aliyemaliza la saba, na ambao hatukuchanga tumekuwa wabaya, πŸ˜…πŸ˜… wahaya hapana wapewe nchi yao wale watu
 
🀣🀣
 
Asipochangiwa hapewi cheti?
Kama jibu ni ndio achangiwe,kama jibu ni hapana hasichangiwe ila achapwe viboko 12.
 
Kama unaweza changia huwezi acha,,, lakini kaa ukijua siku utakapokua na jambo lako utaielewa dunia na watu me wake.nature haisahau kitu pia binadamu hajawahi kusahau chochote alichowahi kufanya au kufanyiwa.
 
Mtu mwenye hizi akili eti name kahitimu masters. Ana kweli elimu imeanguka. Bora tulete wawekezaji tu wa takeover
 
Kama unaweza changia huwezi acha,,, lakini kaa ukijua siku utakapokua na jambo lako utaielewa dunia na watu me wake.nature haisahau kitu pia binadamu hajawahi kusahau chochote alichowahi kufanya au kufanyiwa.
Huwa nachangia ishu za msingi zikiwemo shida na matatzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…