Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?
Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!
Au nasema uongo ndugu zangu?