Mchango wa ujenzi wa kanisa aliotoa Rais Samia unatoka serikalini au mfukoni kwake? Nini kipo nyuma ya mchango huo?

Wote ni sawa ,sasa hapo hakuna ishu ya udini.

Sasa ngoja atoe ule upande mwingine utasikia maneno...kaeni kimya Rais anaweka mambo sawa,nyote mtapata hana ubaguzi.
Mpuuz wewe magufuli alijenga msikiti pale chamwino
Hukusema udini jitu la ovyo kabsaaa wewe unawaza udin
 
Wakuu,

Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.

Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?

Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?

Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!

Au nasema uongo ndugu zangu?
TaTizo mnachukulia poa cheo cha Rais,hiyo ni hela ndogo sana kwa rais,hiyo ni pocket money ya mjukuu wake tu,rais ana ifunguo wa benki kuu,chumba kinamotunzwa hela,computer ya rais in app ambayo inamuonyesha balance iliyopo Bot,unataka kumlinganisha na nani
 
Baelezee papaa, baelezee, tomboka malamu
 
Naona uhuru umepitiliza haya kila lakheri
 
TaTizo mnachukulia poa cheo cha Rais,hiyo ni hela ndogo sana kwa rais,hiyo ni pocket money ya mjukuu wake tu,rais ana ifunguo wa benki kuu,chumba kinamotunzwa hela,computer ya rais in app ambayo inamuonyesha balance iliyopo Bot,unataka kumlinganisha na nani
😂😂😂kwahiyo wewe ukiwa msimamizi wa fedha za watu basi una tiketi ya kuzitapanya utakavyo?
 
Nikusaidie tu pesa ikiingia serikalini kwa njia ya kodi si yako ,kodi ni malipo ya lazima kutoka kwa mtu binafsi au taasisi kwa Serikali.Kitu chako hauwezi kulazimishwa kutoa ,ishi na hiyo elimu kiduchu .
 
Wakuu,

Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.

Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?

Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?

Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!

Au nasema uongo ndugu zangu?
Waluteli wanavyopenda pesa na wenye pesa, hutamsikia askofu alikemea maovu ya serikali tena. Wamepakwa asali midomoni
 
Wakuu,

Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.

Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?

Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?

Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!

Au nasema uongo ndugu zangu?
Husemi uongo ila unasema unafki na ufitini wahovyo. Huwezi kuhojo mtu anapojenga kanisa/ nyumba ya ibada unless unatumikia upande wa pili... Hivi akijenga nyumba yake binafsi utahoji? Viongozi wangapi wanahonga magari ya hiyohela? Au ulitaka ajenge bar? Muwe mnahoji mambo muhimu inaleta hasira kuona mtu anahoji kijinga hata mambo mazuri!!
Machame waliteswa sana na uongozi wa mwendawazi... or sorry mwendazake licha yakuombwa msamaha aliwatendea dhulma na kuchochea kiongozi wake kuwatesa!!!
Mama Samia anaroho nzuri na nimama wa suluhu tumuombee ili Mola amwezeshe kuongoza nchi vyema. Hongera mama Samia Kwa kuchangia kujenga nyumba ya ibada Mungu akuwezeshe kujenga zaidi
 
Mbona kipindi magufuri anagawa mapesa barabarani na kuhonga wapinzani hukuanzisha Uzi kuhoji anapozitoa?

Ebu mwache mama wa watu aubutue mwingi!!
 
Back
Top Bottom