Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Anachota kodi zetu kujijenga kisiasa pesa zinatumiwa hovyo hovyoWakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?
Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Utajua 2025 kilicho nyuma ya mchango huo!Wakuu,

Huo upande mwingine sisi wenyewe wa upande huu tuliwachangia tena kanisani kwetu kule Dodoma ili wapewe wao..!! Mchango alichangisha JPM. Hivyo, anayofanya Samia ni kama kuwapa na wa upande wa pili ili mzani ubalansiWote ni sawa ,sasa hapo hakuna ishu ya udini.
Sasa ngoja atoe ule upande mwingine utasikia maneno...kaeni kimya Rais anaweka mambo sawa,nyote mtapata hana ubaguzi.
Hizi pesa amezitoa kutoka wapi? Bajeti gani hiyo iliyotumika kutoa fungu la fedha hizi???Jomba kuna hela yako uliyopoteza? Tsh 150m kwa rais na familia yake unaona ni nyingi? Nadhani ingekuwa busara kuwasihi waliochangiwa kuzitumia vizuri kwa jambo waliloombea.
Ndio hivyo tukubali hamna kuingiza udini ,maana nawajua hao jamaa zao .Huo upande mwingine sisi wenyewe wa upande huu tuliwachangia tena kanisani kwetu kule Dodoma ili wapewe wao..!! Mchango alichangisha JPM. Hivyo, anayofanya Samia ni kama kuwapa na wa upande wa pili ili mzani ubalansi
Sema nini..!! wao hawachelewi kulitazama hili kwa mrengo wa kidini..!! Lakini wakati wanachangiwa wao waliona sawa tu..!! Sasa hivi wanang'aka..!!Ndio hivyo tukubali hamna kuingiza udini ,maana nawajua hao jamaa zao .
Nenda kituo cha polisi kilicho karibu nawe ukawaulize. Uje utupe majibuHizi pesa amezitoa kutoka wapi? Bajeti gani hiyo iliyotumika kutoa fungu la fedha hizi???
Subiri ukichachaguliwa kua Rais utajua matumizi halisi wa mfuko wa Rais.. Kwa sasa jifiche nyuma ya simu yako uropoke. Tanzania tuna vijana wa juaji.. Kila kitu wanajifanya ma profesor...Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?
Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ujinga ni mzigo mbaya sana, yafaa utue mzigo huu.Nenda kituo cha polisi kilicho karibu nawe ukawaulize. Uje utupe majibu
Hakuna pesa ambazo rais anatoa mfukoni mwake. Pesa zote wanazochezea marais kwa manufaa yao binafsi, ni fedha za umma. Hata yale mabulungutu ambayo mwendazake alikuwa anagawa ovyo, na zile dola alizoficha Chato, zote ni fedha za umma.Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?
Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Katika maelezo nilisikia neno familia (kama sijakosea).Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango huo, eneo ambalo upinzani una mzizi? Kuna nini anajaribu kutengeza?
Dalili zinaonesha 'karatasi zimeanza kununuliwa' ili kujiweka vizuri 2025! Matokeo ya 'bila kupingwa' yale yanatengenezwa taratiiibuuuu!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kawatue kwanza familia yakoUjinga ni mzigo mbaya sana, yafaa utue mzigo huu.