Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema
Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
Hana mchango wowote zaidi ya uchawa kwa Mbowe, tena Yericko ni opportunist kutumia CDM kuuza vitabu vyake, sbb hana input yoyote kwa Chadema.. i call him useless as far as CDM is concerned..!!