Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pesa haina maana wala faida yoyote kwenye ukweli....Haya majinga yakipewa pesa kidogo yanakuja kusifu ujinga humu
kutoa maoni ni Free hata kama hayana maana,Hizi ID mnazoanzishia nyimbo za kusifu na kuabudu it will reach a time mtazikimbia na kuzionea haya kama umejinyea, miaka hii ni ya machawa kama wewe do it to the fullest, kama una familia sijui unafundiaha Nini watoto wako nyumbani, shame on you
Umelamba advance mkuupesa haina maana wala faida yoyote kwenye ukweli....
ukweli utabaki mchungu, ukweli utabaki kuweka watu huru,
waziri mchapakazi hodari Hussein Bashe amechochea mageuzi ya kipekee sana Tanzania, wakulima wenye mashambani tunamuona kwenye mavuno saivi . Mambo ni Bam Bam acha kabisaa 🐒
Jamaa alipewa sukari kidogo tu na sugar companies tycoons, aseme uongo,,,Muuza CCM anapewa tenda ya sukari? majangili tupu
Naunga mkono hojaHuwa nikiona andiko refu kama hili kutoka kwa Pro CCM najuaga Tu ni pumba tupu always!
Ni muhimu sana Taifa likafahamu vyema, kwamba wapo mawaziri vijana wazalendo wanaoweza kujitolea kwa nguvu zao zote na maisha yao rehani kupambania waTanzania dhidi ya wenye pesa wachache wenye nia ya kuvuruga umoja na mshikamano na kuhatarisha amani na utulivu wa nchi 🐒Mnapata posho kwa sababu ya hii biashara yenu ya uchawa! Sawa. Ila kusema kweli mkiwa kama vijana, hamlitendei haki hili Taifa.
kumbe nawe ni miongoni mwa wavivu, kusoma paragraphs mbili tu kijasho kinakutoka 🐒Naunga mkono hoja
Mm huwa inanisikitisha unakuta imeandikwa na mwanaume
sifahamu kama kuna like au dislike gentleman 🐒Hao wawili waliokugongea "like" natakiwa nikawapime akili, sijui nitawapata wapi.
Mleta mada unanuka uchawa.
Msomali amepiga asali mpk nyumba nyeupe ni hatari snmtaalamu na mkali wa hizi kazi si jamaa wa Kisesa Ben🐒
dah kuna jamaa alirubuniwa na sugar companies tycoons aseme uongo kua ukweli kwasabb ya pesa, na jamaa akakomaa nao..Umaskini ni mbaya sana unaweza ukakufanya ukakubali hata kubadilisha jinsia yako.
Msomali baada ya kuipiga mali za umma akapeleka return mpk kwa mazaJamaa alipewa sukari kidogo tu na sugar companies tycoons, aseme uongo,,,
jamaa akang'ang'ana kichizi kukomalia uongo kuufanya ukweli dah, Pesa sio kitu cha mchezo, mtu mzima na familia yake anasema uongo dah!, ila hata bunge limemuumbua vibaya!🐒
ila for sure,
Husseni Bashe is the best Minister of the year 2024. Watu wanavuna balaa mwaka huu 🐒
Mwamba atakumbukwa na vizazi vijavyo na siyo majangili ya CCMjamaa yuko Zanzibar bana mapumziko ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa ufadhili wa sugar tycoons, huku akisubiria mjeledi wa chama chake utakuje dah 🐒