Mchapakazi kijana Waziri Hussein Bashe, historia ya ushupavu Tanzania itamkumbuka

Mchapakazi kijana Waziri Hussein Bashe, historia ya ushupavu Tanzania itamkumbuka

Hili nalo limekaa kinafiki sana sana
si muhimu kuujulisha umma aina ya umaskini unaokusumbua, achana na uvivu ujikomboe na hali hiyo kukosa mawazo mbadala na kuangukia kwenye mihemko na kujiskia vibaya kwa kitu usichokua na fikra tofauti nacho 🐒

na utajikuta unabaini ni kweli kabisaa waziri wa kilimo Hussein Bashe, ni the King of famers in Agricultural activities in Tanzania....
Tunavuna mazao haswa this time around kwasababu ya revolution strategies aloleta huyu muungwana kwenye kilimo 🐒
 
Acha kuongea kwa hisia, tena hisia za kisiasa. Huwa naogopa sana vijana wanaoshabikia ujinga wa namna ya akina Bashe na wenzake. Nyie ni hatari kwa taifa
 
Acha kuongea kwa hisia, tena hisia za kisiasa. Huwa naogopa sana vijana wanaoshabikia ujinga wa namna ya akina Bashe na wenzake. Nyie ni hatari kwa taifa
nahisia kali sana,
najiskia uchungu mno mtu anapokua ana mihemko kwasababu ya ukweli kubainishwa bayana, na hataki kuujua zaidi wala kuelewa kwa usahihi kwasababu ya uvivu na sumu ya chuki binafsi aloijaza moyoni mwake bila kua na faida yoyote 🐒

hata hivyo,
ni miongoni mwa athari za kukosa kazi ya kufanya.
wacha nikupe mchongo gentleman,
Mwaka ujao wa kilimo, wekeza kwenye kiplot hata cha ekari10 kwa gharama kidogo, faida utakayoipata kama vijana wengine wanavyo enjoy sasa hivi,

utainjoy pia, na huna haja hata ya kuja kumshukuru waziri Hussein Bashe kwasababu kukupa wepesi kwenye kilimo ni jukumu lake mahususi, bali utamshukuru Mungu tu kwa Neema na Baraka atakazo kujaalia kwa za kazi za mikono yako mwenyewe kule shambani, right?🐒
 
hata hivyo,
ni miongoni mwa athari za kukosa kazi ya kufanya.
wacha nikupe mchongo gentleman,
Hahahahhaa hapa ndio nimekuona boya kabisa, mimi sina kazi ya kufanya, ni kweli kabisa ila siwezi kuwa chawa. I have been here kwa umri ambao hukua hata unajua kitu, tufanye hivi, umeshinda, nikutakie wakati mwema na uchawa mwema
 
hahahaa anayetegemewa na Familia na ukoo mzima, aliyesomeshwa na kijiji
binafsi namshukuru Mungu sana, kuwawezesha wazazi wangu, wanaKijiji na kata yangu kujenga shule ya kata na nikasoma tena baada ya kupata fursa hiyo adhimu sana ya second selections🐒

nilijiunga form one tarehe 13.7.miaka hiyo, January mwaka uliofuta nikaingia from two. nikawa miongoni mwa waliofaulu vuzuri sana mtiani wa kidato cha pili na cha nne kwenye kata hiyo,🐒

nikachaguliwa shule moja wapo maalumu mkoani pwani, na mara baada ya kuhitimu kidato cha sita, ni kiwa na uzoefu kiasi na masuala ya computer, niliajiriwa na benki moja maarafu sana ya biashara humu nchini, kabla sijajiunga na masomo ya chuo kikuu🐒

so,
I'm proud of that and I'm encouraging young generations kutokukata tamaa regardless of too many setbacks, hiyo iwe opportunity to do better going forward.....

By the way,
tunayo mengi sana ya kujifunza through waziri Hussein Bashe jinsi anavyo buni na kuput in place plans za kuleta mageuzi na kuchochea ufanisi wa kutosha kwenye sekta ya kilimo 🐒
 
Hahahahhaa hapa ndio nimekuona boya kabisa, mimi sina kazi ya kufanya, ni kweli kabisa ila siwezi kuwa chawa. I have been here kwa umri ambao hukua hata unajua kitu, tufanye hivi, umeshinda, nikutakie wakati mwema na uchawa mwema
kama una cha kufanya, ghadhabu, dhihaka na mihemko inatokana na nini sasa 🤣

sina haja ya kumshinda mtu kwa chochote, muhimu sana ni ukweli kuwekwa wazi na kujulikana bayana.
haya ya kushindana labda tusubiri uchaguzi 🐒

ingekua umelima kidogo ungeelewa kirahisi nilichoeleza kuhusu mchapakazi makini waziri Hussein Bashe, lakini kwakua huna hata kaplot ka ekari mbili, yafaa tu kujifunza kutoka kwenye maelezo yangu ya msingi, kuliko kuendekeza mihemko kwa kitu usichokielewa wala kukifahamu🐒

Gentleman,
utulivu, hekima na busara ni zawadi ya pekee sana kutoka kwa Mungu, kila moja wetu amejaaliwa, tuitumie vuzuri karama hiyo 🐒
 
Back
Top Bottom