Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
, [emoji23][emoji23]Huu uzi nimeusomaje usiku huu jamani[emoji22]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
, [emoji23][emoji23]Huu uzi nimeusomaje usiku huu jamani[emoji22]
duh nomaWife alienda kujifungua nikaona nyumba nnayokaa wakirudi itakuaw ndogo nikatafuta nyumba nikahamia, nimekaa kama miezi miwili peke yangu narudi jioni niko tungi nalala sihisi tofauti yoyote
Ikatokea msiba mtaani nikaenda na mimi katika stori mzee mmoja mjumbe wa mtaa akaniuliza wewe ndio unaishi hapo kwenye hiyo nyumba? nikamwambia ndio... akaniulza una familia? Nikamwambia ndio. Akasema wewe itakuwa uko vizuri. Sikujali sana nilihisi kwakuwa nimechukua nyumba nzima na wanaona ni kijana tu.
Kimbembe kikaanza familia ilvyorudi. Picha la kwanza mwanangu wa 4 yrs hataki kuingia ndani anasema siingii humo kwenu kuna mawatu nikapga kibao wapi mtoto hataki nikajua anakumbuka kwa bibi yake. Nikazunguka naye tukarudi kama mishale ya saa tano kashalala nikapeleka chumbani tukalala. Asubuhi ananiambia usikae kwenye hilo kochi kuna limbwa, nikasema haka katakuwa na malaria.
Huku na huku vituko vikaanza dada wa kazi akaaga hata wiki haijaisha, katuamsha saa kumi usiku anaomba nauli tu hata mshahara hataki anataka tu aende kwao. Nikabembeleza wapi tukapeleka stendi akasepa. Tulivyompigia simu kama amefika akasema amefika salama ila bamdogo humo ndani kuna watu hameni mimi usiku wamenisumbua sana na kunitisha. Nikasema yawezekana kweli nikaanza kumtafuta dalali aliyenileta nikamuuliza hii nyumba ina historia gani mbona siielewi na hapo niliikuta haina mtu zaidi ya miezi 5 ndio nikaingia.
Akaniambia mtafute mwenye nyumba, nikamcheki mwenye nyumba ananiambia kuna watu hawataki nyumba yangu ipate mpangaji bwana ndio wananisumbuah apo ila we sali na uwe na amani, nikasema haya.. mtoto ikawa usiku halali ni kulia huyu mkubwa ni kutapika na kuumwa
Nikawaondoa kwanza nibaki mwenyewe nione siku hiyo niko peke yangu naangalia movie nikasikia mtu anakuja sebuleni anatembea kabisa na anasikika, nika-mute tv nikasikia kimya gafla nasikia mtu amehema kama kachoka ile kupumzika asee nilienda kulala lodge, kesho yake nikaanza kutafuta nyumba.
Vituko ni vingi ila ile nyumba nahisi ina majini sio wachawi maana kuna siku nilipishana na mtu kabisa kwenye pazia nikajua ni mke wangu kuingia chumbani nikamkuta yeye yupo kitandani na mtoto nikasema nikimwambia nilichokihisi hapo mlangoni hapatalalika humu ndani.
Toka nimehama pale ile nyumba haina mtu mpaka leo ni zaidi ya miezi 9.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha kujidanganya, wachawi wanatafuna mdudu pia!kama sio mtu wa sala,kula mmea unalala vizuri tu,au ata kabia moja.,ukishidwa kabisa nyumba kama hizo weka fupa la nyama pedwa,nguruwe
...Ulihama nyumba Kwa kusikia TU sauti kwenye bati na kwenye Dari?? Na hukuiona chochote??? Imani Hizi no Shida.....!!Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku.
Nakumbuka nikiwa kijana mdogo (miaka 22) nlichoka kukaa hostel za chuoni nikaenda kupanga ghetto mtaani ili niwe na uhuru zaidi kumiliki chumba changu, kujipikia, yani kiudupi kuwa na mamlaka zaidi hasa pale nilipokuwa nimepata mchumba kama yalivyo matamanio ya vijana wengi katika huo umri.
Sasa hiki chumba nilichopanga nilikaa kama mwezi bila kero yoyote, kulikuwa pia kuna wapangaji wenzangu wanne ambao pia tulielewana vizuri tu na wala hapakuwa na shida au historia yyote ya ushirikina.
Kabla ya kulala nilikuwa naomba kama kawaida wakuu.
Sasa kuna siku nikiwa naanza kulala naskia kwenye dali kuna vishindo, dakika za mwanzo nilidhani huenda ni panya buku ila nikaona huyu ni mwanadamu kabisa anakimbia, kwa hofu nikatoka nje haraka sana, nilivyotoka tu haikuchukua mda wapangaji wengine wote nao kutoka huku wakilalamika ishu hio hio, kiukweli tulikaa nje mda mrefu kidogo ila tukarudi vyumbani huku tukiwa na hofu, nakumbuka hio siku nililala saa 10.
Hali ilipoa ila baada ya wiki tena hali ikatokea kituko kile kile, nakumbuka ile siku luku ilikata usiku mida ya saa tano kasoro hivi nikiwa natumia laptop, nikasali na nikaingia kulala, usingizi ulivyoaza kutaka kunipitia nlistushwa na vishindo darini na kwa mbali kukiwa na kama sauti za watu wanaoongea lugha nisiyoijua zikiambana na ngoma nyepesi, kiukweli nilihisi moyo wangu unataka kunitoka mdomoni maana ulikuwa unadunda sana, nikasikia milango ya wapangaji wengine inafunguka wanatoka nje nikaona hapa kishanuka ngoja nitoke tu, Mpangaji mwenzetu alinunua luku na hio siku taa hazikuzimwa.
Tukio la 3 na la mwisho katika nyumba hii lililonifanya nihame kesho yake ni baada ya siku kadhaa mbeleni usiku kuna kitu kilipiga juu ya bati mithiri ya kimondo, yani ilisikika PAAAAAH!! sauti kubwa sana, nilichomoka nduki chumbani, wapangaji wengine nao kama kawaida wakatoka nje, ile siku nakumbuka ilikuwaa ndio funga kazi, ile sauti ingeweza kumuamsha hata mlevi alielala fofofo kiukweli, ilikuwa ni kubwa sana,
Nakumbuka nilvyoingia tu chumbani nilianza kukunja nguo zangu usiku huo mida ya saa tisa, nikawa nacheki muvi kwenye laptop maana usingizi uliisha kabisa, siku hio sikwenda hata chuoni nilishinda na madalali kutafta chumba sehem nyingine, Nlipopata chumba nilirudi kule ghetto kwangu na gari flani kubwa kidogo kuzidi kirikuu, nilifungua kitanda, nilitoa mapazia, n.k. Basi ndio nikahama hio sehemu na kwenda sehem nyingine huku nikiwa nimeacha kodi ya miezi mitatu.
Nachoshukuru huyo dalali alientaftia chumba kipya alikuwa ni rafiki yangu na alinifunidisha ujanja kwamba niwe naulizia ulizia kwa boda boda, wauza duka, au watu wa karibu na nyumba nayotaka kuhamia hali yake ipoje hata kama ni kwa kutoa ka rushwa,
[emoji23][emoji23][emoji23]Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku.

Lakini uzuri ni kwamba Hawadhuru, ila wanaumbua TU na Vituko vyao??...Wife alienda kujifungua nikaona nyumba nnayokaa wakirudi itakuaw ndogo nikatafuta nyumba nikahamia, nimekaa kama miezi miwili peke yangu narudi jioni niko tungi nalala sihisi tofauti yoyote
Ikatokea msiba mtaani nikaenda na mimi katika stori mzee mmoja mjumbe wa mtaa akaniuliza wewe ndio unaishi hapo kwenye hiyo nyumba? nikamwambia ndio... akaniulza una familia? Nikamwambia ndio. Akasema wewe itakuwa uko vizuri. Sikujali sana nilihisi kwakuwa nimechukua nyumba nzima na wanaona ni kijana tu.
Kimbembe kikaanza familia ilvyorudi. Picha la kwanza mwanangu wa 4 yrs hataki kuingia ndani anasema siingii humo kwenu kuna mawatu nikapga kibao wapi mtoto hataki nikajua anakumbuka kwa bibi yake. Nikazunguka naye tukarudi kama mishale ya saa tano kashalala nikapeleka chumbani tukalala. Asubuhi ananiambia usikae kwenye hilo kochi kuna limbwa, nikasema haka katakuwa na malaria.
Huku na huku vituko vikaanza dada wa kazi akaaga hata wiki haijaisha, katuamsha saa kumi usiku anaomba nauli tu hata mshahara hataki anataka tu aende kwao. Nikabembeleza wapi tukapeleka stendi akasepa. Tulivyompigia simu kama amefika akasema amefika salama ila bamdogo humo ndani kuna watu hameni mimi usiku wamenisumbua sana na kunitisha. Nikasema yawezekana kweli nikaanza kumtafuta dalali aliyenileta nikamuuliza hii nyumba ina historia gani mbona siielewi na hapo niliikuta haina mtu zaidi ya miezi 5 ndio nikaingia.
Akaniambia mtafute mwenye nyumba, nikamcheki mwenye nyumba ananiambia kuna watu hawataki nyumba yangu ipate mpangaji bwana ndio wananisumbuah apo ila we sali na uwe na amani, nikasema haya.. mtoto ikawa usiku halali ni kulia huyu mkubwa ni kutapika na kuumwa
Nikawaondoa kwanza nibaki mwenyewe nione siku hiyo niko peke yangu naangalia movie nikasikia mtu anakuja sebuleni anatembea kabisa na anasikika, nika-mute tv nikasikia kimya gafla nasikia mtu amehema kama kachoka ile kupumzika asee nilienda kulala lodge, kesho yake nikaanza kutafuta nyumba.
Vituko ni vingi ila ile nyumba nahisi ina majini sio wachawi maana kuna siku nilipishana na mtu kabisa kwenye pazia nikajua ni mke wangu kuingia chumbani nikamkuta yeye yupo kitandani na mtoto nikasema nikimwambia nilichokihisi hapo mlangoni hapatalalika humu ndani.
Toka nimehama pale ile nyumba haina mtu mpaka leo ni zaidi ya miezi 9.
Iko wap mkuu hiyo nyumba nikakae hapoWife alienda kujifungua nikaona nyumba nnayokaa wakirudi itakuaw ndogo nikatafuta nyumba nikahamia, nimekaa kama miezi miwili peke yangu narudi jioni niko tungi nalala sihisi tofauti yoyote