Mchawi hana akili, tukutane hapa ambao tumekutana na vimbwanga vyao, binafsi nlihama nyumba

duh noma
 
[emoji38][emoji38]dah mm napitia hyo ishu currently kwenye nyumba ya kupanga , sema in short Kuna dawa nilipata ya kuweka ndani ya chumba n kupaka tokea siku hyo wale wachaw hawaniongelesh Wala kunisalimia na walikuwa wananikubal kinoma kabla ya hapo, na mtoa dawa alisema wabaya watajionyesha wenyew hata hutotumia nguvu kuwatambua

Na hawa wamefanya mengi tu Kuna dada wa watu alijifungua mtoto zezete akaja kuambiwa ni huyu bibi kamfanya hvyo mtoto wake,

Mi ntakomaa tu muda huu mchache mzigo ukiisha natembea


Hapa nilikuwa naridusha majibu Kwa mtoa dawa
 
...Ulihama nyumba Kwa kusikia TU sauti kwenye bati na kwenye Dari?? Na hukuiona chochote??? Imani Hizi no Shida.....!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini uzuri ni kwamba Hawadhuru, ila wanaumbua TU na Vituko vyao??...
 
Iko wap mkuu hiyo nyumba nikakae hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…