Mchawi kutoka Congo adondoka Bwanga Chato

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato

Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish

Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu
 
We nani alikuambiaga?
 
images (7).jpeg
 
Tanzania ndio inaongoza kwa uchawi Africa, Nigeria inafatia. Huyo mchawi alipotea njia.
 
Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato

Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish

Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu
atakuwa alikuja kutoa kafara kwenye eneo ambalo wachawi wa hapo wana nguvu kuliko yeye
 
Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato

Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish

Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu
Amepelekwe uhamiaji huyo siyo police.sababu hana permit ya kutembea bongo
 
Hivi haya maigizo bado hayajakoma tu?
Maigizo?Mambo ya kweli unayaita maigizo.Shetani amewapofusha macho kweli kweli,yaani kawaamisha kwamba hayupo na ninyi mmeamini kwamba kweli hayupo,wake up guys,Satan is real.
 
Back
Top Bottom