tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyo itakua alisikia njaa akajua kuna hotel ndio kutua chato kwa mazuzuHii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato
Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish
Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu