We nani alikuambiaga?Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato
Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish
Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu
Hapo Bwanga Jana na leo ndio habari iliyotawalaWe nani alikuambiaga?
atakuwa alikuja kutoa kafara kwenye eneo ambalo wachawi wa hapo wana nguvu kuliko yeyeHii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato
Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish
Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu
Amepelekwe uhamiaji huyo siyo police.sababu hana permit ya kutembea bongoHii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato
Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish
Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari zangu
Maigizo?Mambo ya kweli unayaita maigizo.Shetani amewapofusha macho kweli kweli,yaani kawaamisha kwamba hayupo na ninyi mmeamini kwamba kweli hayupo,wake up guys,Satan is real.Hivi haya maigizo bado hayajakoma tu?
Hii nchiiSource: Trust me bro
Chanzo: Niamini mm kaka
😂😂😂Bongo sihami, Nimeipenda hii...Source: Trust me bro
Chanzo: Niamini mm kaka