Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahaGenta jf ndo iliona ndo member mwenye upeo mkubwa kwenye mambo ya sports mpaka wakampa tuzo, siwezi kumpinga๐๐๐
Taratibu sasa unaanza Kusalimu Amri, kuwa Mpole, kutia Huruma na kukubadili kuwa huniwezi na nakuzidi vingi vya Kiuwasilishaji na Upeo / Akili.Pole sana mkuu.
Usimshauri utaambulia matusi makali.
Muache tu.
Sisi tulijaribu kumshauli ndio imekuwa vita.......
JF inamlinda.
Kumbe tuko karibu ? Niko maeneo ya ofc za ubongo kidsNjoo nipo Offisini Haile Selassie Road
Ghorofa ya 11 rd Floor.
Golden Tulip.
Huyo yuko Kijijni Kwao Bahi huko Mkoani Dodoma anakuokota / anakudanganya yuko Ushuani Oysterbay au Masaki na Wewe kabisa Unamuamini?Kumbe tuko karibu ? Niko maeneo ya ofc za ubongo kids
Kwani kuna tuzo yoyote unapewa kwa kuwa mbabe Jf?Israel haijawahi Kushindwa Vita na Muisraeli hajawahi Kushindwa Vita hivyo nitafurahi zaidi kama nitaingia nawe Vitani rasmi ili nikufunze Adabu na Siku zingine uiheshimu hii ID yangu hapa Jamiiforums sawa?
Huna Akili.
Pale unapopenda kupaki school bus ile ya njano, ukiacha ile Eicher yenye mistari katikatiGENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC.
Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao Mkataba huku wakisahau kuwa Mimi kutoka Moyoni kabisa ni mwama Kawe Rangers FC hivyo nawaumiza zaidi Ukwamani FC kwa Kuchukua Jezi zao na kuzipeleka kwa Waganga Hatari wa Kawe Rangers FC ambao wamezisomea Jezi zao ( Ukwamani FC ) dua Kali ya 'Kunuti' na kuwawekea Gundu na kama haitoshi hata Soksi za Wachezaji wao ( Ukwamani FC ) nazo zimesomewa Dua Kali ya Kufunga Miguu Wachezaji wao na pia tumeshachukua sana Nyasi na Udongo kutoka katika Uwanja Wao wa Mazoezi pale Tanganyika Packers Kawe Jirani kabisa na Hospitali ya Masista ( Kanisa Katoliki ) Kawe.
Na bado mpaka tuseme.....!!
hahahaaa huyu jamaa bwana ipo shida hakika halafu unaweza kuta ni mtu mzima kabisa ila hizi keyboard bana zinaficha mengi unaweza kuta mwamba amevaa suti kabisa na ana mke na watoto kabisa kumbe ni mtambo wa matusiPole sana mkuu.
Usimshauri utaambulia matusi makali.
Muache tu.
Sisi tulijaribu kumshauli ndio imekuwa vita.......
JF inamlinda.
Rubbish and Nonsensical. Idiot.hahahaaa huyu jamaa bwana ipo shida hakika halafu unaweza kuta ni mtu mzima kabisa ila hizi keyboard bana zinaficha mengi unaweza kuta mwamba amevaa suti kabisa na ana mke na watoto kabisa kumbe ni mtambo wa matusi
hahahaa utakua mwanachama mzuri sana wa IPPW international pumba speaker and writter.Rubbish and Nonsensical. Idiot.
Rubbish and Nonsensical. Damn Nut.hahahaa utakua mwanachama mzuri sana wa IPPW international pumba speaker and writter.
Sema mashabiki wengi wa simba hamnazo mnaamini lugha chafu ndio silaha yenu eti Simba wa vita kwa matusi
Attention seeker Idiot!Idiot and Pig.
Kumbe tuko karibu ? Niko maeneo ya ofc za ubongo kids
Hahahaaa, jamaa unapenda bifu bila sababu. Hivi utaweza kupambana na wana JF wote mkuu?Kuwa makini sana na Vita unayotaka Kuiingia kwani Wengine Ukitubipu tu huwa hatuchelewi Kukupigia.
Nimeanza na Kukuonya shauri lako.
hahahaa...Huna hoja wewe nashangaa JF wanakupa tuzo kwa cheap propaganda zako kama HAMAS, ingekua tuzo ya matusi hakuna ambaye angebishaRubbish and Nonsensical. Damn Nut.
Inabidi siku tukae pale JackiesHa ha ha.....
Karibu sana mkuu
Hahaaaaa, mnataka mzichape au?Kama umeshindwa kuja Posta
Jioni nitakuwa Mikocheni B
Naishi mtaa wa Mawaziri mkabala na mtaa wa TPDC
Ukitokea kawe ingilia kwa Warioba au kwa mwalimu Nyerere.
No ya nyumba nitakutumia Pm
Au location ukihitaji