Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

Pole sana mkuu.
Usimshauri utaambulia matusi makali.

Muache tu.
Sisi tulijaribu kumshauli ndio imekuwa vita.......

JF inamlinda.
Taratibu sasa unaanza Kusalimu Amri, kuwa Mpole, kutia Huruma na kukubadili kuwa huniwezi na nakuzidi vingi vya Kiuwasilishaji na Upeo / Akili.

Kudadadeki...!!
 
Israel haijawahi Kushindwa Vita na Muisraeli hajawahi Kushindwa Vita hivyo nitafurahi zaidi kama nitaingia nawe Vitani rasmi ili nikufunze Adabu na Siku zingine uiheshimu hii ID yangu hapa Jamiiforums sawa?

Huna Akili.
Kwani kuna tuzo yoyote unapewa kwa kuwa mbabe Jf?
 
GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC.

Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao Mkataba huku wakisahau kuwa Mimi kutoka Moyoni kabisa ni mwama Kawe Rangers FC hivyo nawaumiza zaidi Ukwamani FC kwa Kuchukua Jezi zao na kuzipeleka kwa Waganga Hatari wa Kawe Rangers FC ambao wamezisomea Jezi zao ( Ukwamani FC ) dua Kali ya 'Kunuti' na kuwawekea Gundu na kama haitoshi hata Soksi za Wachezaji wao ( Ukwamani FC ) nazo zimesomewa Dua Kali ya Kufunga Miguu Wachezaji wao na pia tumeshachukua sana Nyasi na Udongo kutoka katika Uwanja Wao wa Mazoezi pale Tanganyika Packers Kawe Jirani kabisa na Hospitali ya Masista ( Kanisa Katoliki ) Kawe.

Na bado mpaka tuseme.....!!
Pale unapopenda kupaki school bus ile ya njano, ukiacha ile Eicher yenye mistari katikati
 
Pole sana mkuu.
Usimshauri utaambulia matusi makali.

Muache tu.
Sisi tulijaribu kumshauli ndio imekuwa vita.......

JF inamlinda.
hahahaaa huyu jamaa bwana ipo shida hakika halafu unaweza kuta ni mtu mzima kabisa ila hizi keyboard bana zinaficha mengi unaweza kuta mwamba amevaa suti kabisa na ana mke na watoto kabisa kumbe ni mtambo wa matusi
 
Rubbish and Nonsensical. Idiot.
 
Rubbish and Nonsensical. Idiot.
hahahaa utakua mwanachama mzuri sana wa IPPW international pumba speaker and writter.
Sema mashabiki wengi wa simba hamnazo mnaamini lugha chafu ndio silaha yenu eti Simba wa vita kwa matusi
 
hahahaa utakua mwanachama mzuri sana wa IPPW international pumba speaker and writter.
Sema mashabiki wengi wa simba hamnazo mnaamini lugha chafu ndio silaha yenu eti Simba wa vita kwa matusi
Rubbish and Nonsensical. Damn Nut.
 
Kama umeshindwa kuja Posta

Jioni nitakuwa Mikocheni B

Naishi mtaa wa Mawaziri mkabala na mtaa wa TPDC
Ukitokea kawe ingilia kwa Warioba au kwa mwalimu Nyerere.

No ya nyumba nitakutumia Pm
Au location ukihitaji
 
Back
Top Bottom