Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

Acha kumjibu huyu unampa kichwa
Na Mimi namharibu na namtesa Kisaikolojia Makusudi. Nataka ajue kuwa kwa Vita na Mimi hapa Jamiiforums Yeye bado ni Mtoto Mdogo mno na kamwe haniwezi na hatoniweza hata wakiwa Watu ( Members ) 500 ( Mia Tano ) nawe ukiwepo na Mimi nikiwa peke yangu hivi hivi.
 
Punguza jazma wazee wa umri wako tunawaelewa.ila huyu jamaa angemuoa FaizaFoxy pangeiva sana
 
Huyu mzee anamatusi mazito
Ila Tusi Kubwa na la Nguoni la Kiungo cha Uzazi cha Mama yangu, Mama yako na Mama yake CAPO DELGADO alilonitukama na haraka sana akaifuta hiyo Post yake Kwako Wewe hilo siyo Tusi?

Pumbavu na Mnafiki mkubwa Wewe.
 
Ila mzee wetu tulia bhaana ahh naona na mm umenichapa pumbavu moja matata.vipi mechi ya leo unaangalizia wapi babu?
 
Pumbavu naziongelea Timu zangu za Mtaani Kwangu Kawe za Ukwamani FC na Kawe Rangers FC sasa nakuomba na kwa Ushahidi wako usio na shaka nionyeshe ni wapi katika Thread Content yangu nimezitaja Vilabu hivi Tajwa viwili vya Mabasha zako za Simba na Yanga.

Nasubiria.
hahahaha nlikua siamini waliokua wansema wewe sio mzima leo ndio nimeamini la kusema tu God have mercy on you uwachane na lugha chafu mara mabasha mara pumbavu angalia limtokalo mtu mzee, kama unaifahamu dini yako haya matusi unayotokana watu ni matusi ya kutubu kabisa kwa kiongozi wako wa kiroho ili uweze kuwa kiumbe mpya haya ni maroho mzee Gentamycine.

Matusi, kusapoti ushirikina hizo ni tabia za mawakala wa Shetani, plse change rafiki hebu endani na Elimu yako kama msomii wa SAUT matusi ndio silaha yako huna hoja mbona kuna jamaa angu kasoma SAUT yupo bright sana wewe ni intake ya mwaka gani ?

Roma ikisema imesema.
 
Idiot. Rubbish and Nonsensical.
You need to change buddy hizo ni tabia za watoto wanaobalehe kukosa hoja na kuanza kutukana falsafa zangu nikiona mtu mzima anatukana hovyo hovyo najua ipo shida kubwa sana na pia anahitaji kusaidiwa kiroho manake wakati mwingine yupo possesed na evil spirits.
 
Mshana Jr kuna jamaa huku anaingilia fani yako, vp ana baraka zako au tumpopoe kulinda brand?
Israel haijawahi Kushindwa Vita na Muisraeli hajawahi Kushindwa Vita hivyo nitafurahi zaidi kama nitaingia nawe Vitani rasmi ili nikufunze Adabu na Siku zingine uiheshimu hii ID yangu hapa Jamiiforums sawa?

Huna Akili.
 
You need to change buddy hizo ni tabia za watoto wanaobalehe kukosa hoja na kuanza kutukana falsafa zangu nikiona mtu mzima anatukana hovyo hovyo najua ipo shida kubwa sana na pia anahitaji kusaidiwa kiroho manake wakati mwingine yupo possesed na evil spirits.

Pole sana mkuu.
Usimshauri utaambulia matusi makali.

Muache tu.
Sisi tulijaribu kumshauli ndio imekuwa vita.......

JF inamlinda.
 
Back
Top Bottom