myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
hahahaaaa CHIKIRA MTABARINasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:
hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa
Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
wee mi mbinguni nitamtafuta king suleiman au yusuphu nasikia walikuwa mahb haijawai kutokea toka kuubwa kwa ulimwenguWewe tutunze bikra zetu tutazitumia wote mbinguni.
Hahahaha sio mnato tehtehMiss Natafuta zaidi ya kuwa na bikira bado anakwambia K yake ni "mtelezo" hahahahahahahahahhaha
hahahahahahahah, good morninghahahaaaa CHIKIRA MTABARI
Wale walishatumika vya kutosha mtu anawake 700.wee mi mbinguni nitamtafuta king suleiman au yusuphu nasikia walikuwa mahb haijawai kutokea toka kuubwa kwa ulimwengu
hahahahahaahahaha, jamani wee mwanamke wewe hahahahahawee mi mbinguni nitamtafuta king suleiman au yusuphu nasikia walikuwa mahb haijawai kutokea toka kuubwa kwa ulimwengu
powaaaaaaaaaaaahahahahahahahah, good morning
kuna mama mmoja mume wake alimfumania na kiserengeti akawekwa kikao na wazee wa ukoo wakamchamba wee ooh kwanini unatembea na watoto blah blah kibao akawauliza hivi ninyi nani asopenda vitu vitamu?hahahahahaahahaha, jamani wee mwanamke wewe hahahahaha
naenda na mimi kuonjaWale walishatumika vya kutosha mtu anawake 700.
Tehteh basi na mimi nitamtafuta cleopatra.naenda na mimi kuonja
hahahah wazee wakainama bila shaka, kutunga sheria hahahahaha, Ila viserengeti navyo wakati mwingine ni balaa maana kanageuza kama chapati jikoni, sikushauri sana shoga yangu kakuchezee bikira yako😀😀kuna mama mmoja mume wake alimfumania na kiserengeti akawekwa kikao na wazee wa ukoo wakamchamba wee ooh kwanini unatembea na watoto blah blah kibao akawauliza hivi ninyi nani asopenda vitu vitamu?
ahaaaaa acha tu bikra hii ahaaaaahahahah wazee wakainama bila shaka, kutunga sheria hahahahaha, Ila viserengeti navyo wakati mwingine ni balaa maana kanageuza kama chapati jikoni, sikushauri sana shoga yangu kakuchezee bikira yako😀😀
poa tutapishana kwenye korido na bikra zetuTehteh basi na mimi nitamtafuta cleopatra.
Nani asiyependa vitamu.
[emoji16][emoji16] shindwa wewepoa tutapishana kwenye korido na bikra zetu
ahahahahaha lowasaaaaaaNasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:
hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa
Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
hahahahahaahahahah jamanih
ahahahahaha lowasaaaaaa
hahahahahah ndesamburo
hahahahhaahh rostam aziz
Sasa si umcheke tu kabisa baba J...ca hahahahahahahahaKungekuwa na kucheka uadhibiwe upate bahati ya uliowacheka mie ningemcheka naniliu.... yaani bahati ua ukuu wa wilaya, wa mkoa na influence isiyoelezeka. Baba Jesca ningemshikaje masikio!
hahahahaahah weeee mchaga wewe hahahahaahah Deo Mrema hahahahahahahahaahahahaha Daudi Bashiter