Mcheke utoke kimaisha!!

Mcheke utoke kimaisha!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:

hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa

Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
mkuu hapo haujawacheka bali umewachekelea kuwa cheka ni 'haaaoooooooooooooh ooooooooohhhhh yaan apo umewacheka na kuwazomea.
 
Back
Top Bottom