Tanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposure
Nimeona clips zake juzi anajua.Simfahamu jina lake kwa Sasa Tanzania hakuna kama uyu jamaa kwenye comedyView attachment 2563618
😂 sasa itabidi tu niache pombe.Kwamba ma baunsa niliwaita midoli kaka[emoji16]
Joti ni goat. Stand up comedy is hit or miss.stand up comedy TZ hatuna watu. Ila generally , Joti ataendelea kuwa the best
Kunywa ila kama una kichwa chepesi kama cha jamaa sikushauriAna ni inspire kunywa
Jamaa hapo juu amesema tuondoe huo upupu kichwani kama wakenya wametuzidi stand up comedy...Kenya wametuzid mbali sana huo ndio ukweli
Naona umeamua kuja kujipromoti kimtindo baada ya kuona JF hawakujui mkuu.Simfahamu jina lake kwa Sasa Tanzania hakuna kama uyu jamaa kwenye comedyView attachment 2563618
Ubaya wa comedy yetu haiwezi vuka mipaka, comedians wetu hawajiaminiJamaa hapo juu amesema tuondoe huo upupu kichwani kama wakenya wametuzidi stand up comedy...
Ameleta ubishi ambao hauna mantiki
Tabia ya kusiliba vya nyumbani haipendezi na wala sio ujanja.
Mnasema bongomovie waongo mko busy na wahindi,comics na scifi za wazungu.
Mnasiliba maigizo ya akina tiny mko busy na drama za kikorea.
Mnasema comedian wa bongo hawachekeshi kisa hawaongei kiingereza kama akina trevo noah.huu ni ulimbukeni wala sio dalili ya kuchanuka.
Kenya wametuzid mbali sana huo ndio ukweli
Prof Hamo vipi?Wachekeshaji ninaowakubali Tz ni
Joti
Clam vevo
Kenya
Eric omondi
Vinnie baite
Mca tricky