Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Tanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposure

Ulitaka waongelee rocket science?

Jamii ya TZ Ina kitu gani kingine Cha kuongelea?
 
Tabia ya kusiliba vya nyumbani haipendezi na wala sio ujanja.

Mnasema bongomovie waongo mko busy na wahindi,comics na scifi za wazungu.

Mnasiliba maigizo ya akina tiny mko busy na drama za kikorea.

Mnasema comedian wa bongo hawachekeshi kisa hawaongei kiingereza kama akina trevo noah.huu ni ulimbukeni wala sio dalili ya kuchanuka.

Trevor anaongelea racism na politics tu it gets boring
 
Kunywa ila kama una kichwa chepesi kama cha jamaa sikushauri
Jana tu[emoji16]
IMG_20230323_155501_080.jpg
 
Back
Top Bottom