Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vizuri piaProf Hamo vipi?
Nyie WaTz si mnapenda kutiana moyo kipumbav... Bongo hakuna comedy kuna vituko tu... Bongo ni mziki pekee ndio unafanya vzuri, hizo takataka nyingine upuuzi mtupu...Tabia ya kusiliba vya nyumbani haipendezi na wala sio ujanja.
Mnasema bongomovie waongo mko busy na wahindi,comics na scifi za wazungu.
Mnasiliba maigizo ya akina tiny mko busy na drama za kikorea.
Mnasema comedian wa bongo hawachekeshi kisa hawaongei kiingereza kama akina trevo noah.huu ni ulimbukeni wala sio dalili ya kuchanuka.
Na wewe upo gizani sana pole, eti jamii ya Tz ina kitu gani kingine...Ulitaka waongelee rocket science?
Jamii ya TZ Ina kitu gani kingine Cha kuongelea?
Dunaini kote kuchekesha Ni mada hizohizo hata uniketee mchekeshaji Bora wa Duniani nitaona anazingua tu kuchekesha ni mchekeshwaji kuwa tayariTanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposuNadhanj adha
Na wewe upo gizani sana pole, eti jamii ya Tz ina kitu gani kingine...
Nyie WaTz si mnapenda kutiana moyo kipumbav... Bongo hakuna comedy kuna vituko tu... Bongo ni mziki pekee ndio unafanya vzuri, hizo takataka nyingine upuuzi mtupu...
Wanatakiwa wawe wabunifu na wapate exposure kupitia platforms mbalimbali...
Achekeshe kwa contents siyo kuvaa kike au manguo ya kuchanikachanika kama kichaa kama wale comedians wa mitaani wanaovaa midabwada, comedy kama una talent unavaa tu smart tena unasimama katika jinsia yako na watu wanacheka sana tu.stand up comedy TZ hatuna watu. Ila generally , Joti ataendelea kuwa the best
Unaniandama sana jombaa , 🖐️
Hawa jamaa wanataka kusifiwa , hiyo kitu haipo , prove your own , sio unatuletea uzi ukidemand one sided battle , mwanaume kamili anahtaji critics ili atembee mjini .... Asa hawataki negative , huyo jamaa wanayemsifia mweupe sana same to cholo commedian , came and gone...tuupe mda uamue hii battleNyie WaTz si mnapenda kutiana moyo kipumbav... Bongo hakuna comedy kuna vituko tu... Bongo ni mziki pekee ndio unafanya vzuri, hizo takataka nyingine upuuzi mtupu...
Wanatakiwa wawe wabunifu na wapate exposure kupitia platforms mbalimbali...
We utakuwa Akida John wa lisecoMagasho ndo wanapenda kusifiwa sifiwa , kuwa mwanamme kiazi wewe
TX DULLAHSimfahamu jina lake kwa Sasa Tanzania hakuna kama uyu jamaa kwenye comedyView attachment 2563618
Utakuwa una shida mahali, kuchekesha ni composition ya vitu vingi. Joti ana vingi.Joti mbona simuelewagi mimi?