Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Mchekeshaji bora Tanzania kwa sasa

Tabia ya kusiliba vya nyumbani haipendezi na wala sio ujanja.

Mnasema bongomovie waongo mko busy na wahindi,comics na scifi za wazungu.

Mnasiliba maigizo ya akina tiny mko busy na drama za kikorea.

Mnasema comedian wa bongo hawachekeshi kisa hawaongei kiingereza kama akina trevo noah.huu ni ulimbukeni wala sio dalili ya kuchanuka.
Nyie WaTz si mnapenda kutiana moyo kipumbav... Bongo hakuna comedy kuna vituko tu... Bongo ni mziki pekee ndio unafanya vzuri, hizo takataka nyingine upuuzi mtupu...
Wanatakiwa wawe wabunifu na wapate exposure kupitia platforms mbalimbali...
 
Tanzania hakuna comedians bali ni watu wanajichekesha wakitaka watu wacheke pia... Stand up comedy za Tanzania ni upuuzi mtupu, mada zao ni shule chuo ndugu wazazi mapenzi au Marafiki.. na hazichekeshi... Hawana maarifa na exposuNadhanj adha
Dunaini kote kuchekesha Ni mada hizohizo hata uniketee mchekeshaji Bora wa Duniani nitaona anazingua tu kuchekesha ni mchekeshwaji kuwa tayari
 
Nyie WaTz si mnapenda kutiana moyo kipumbav... Bongo hakuna comedy kuna vituko tu... Bongo ni mziki pekee ndio unafanya vzuri, hizo takataka nyingine upuuzi mtupu...
Wanatakiwa wawe wabunifu na wapate exposure kupitia platforms mbalimbali...

Wewe mzungu koko taja mchekeshaji wako anayechekesha kwa kuongelea rocket science. Okoa nguvu na muda taja jina otherwise wewe ndo unaonekana kituko.
 
stand up comedy TZ hatuna watu. Ila generally , Joti ataendelea kuwa the best
Achekeshe kwa contents siyo kuvaa kike au manguo ya kuchanikachanika kama kichaa kama wale comedians wa mitaani wanaovaa midabwada, comedy kama una talent unavaa tu smart tena unasimama katika jinsia yako na watu wanacheka sana tu.
 
Nyie WaTz si mnapenda kutiana moyo kipumbav... Bongo hakuna comedy kuna vituko tu... Bongo ni mziki pekee ndio unafanya vzuri, hizo takataka nyingine upuuzi mtupu...
Wanatakiwa wawe wabunifu na wapate exposure kupitia platforms mbalimbali...
Hawa jamaa wanataka kusifiwa , hiyo kitu haipo , prove your own , sio unatuletea uzi ukidemand one sided battle , mwanaume kamili anahtaji critics ili atembee mjini .... Asa hawataki negative , huyo jamaa wanayemsifia mweupe sana same to cholo commedian , came and gone...tuupe mda uamue hii battle
 
Nakuunga mkono..hatumii nguvu..hadhalilishi uume wake kwa kujifanya wa kike..napenda kwakweli anachofanya
 
Back
Top Bottom