Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania
Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana
View attachment 1722908
Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .
Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew