Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa

Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa

Gigy ni nyota ya laana ni mkosi, ukisalimiana na gigy kimbia haraka ukaoge maji ya bahari😁, mm mwenyewe nimeandika hapa neno gigy inabidi ninawe kwa maji tiririka na sabuni,💧 hat wewe uliyesoma sukutua mdomo wako vzr, neno GIGY ni laana iliyokubuka😁😁
Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania

Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana View attachment 1722908

Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .

Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
 
Gigy ni nyota ya laana ni mkosi, ukisalimiana na gigy kimbia haraka ukaoge maji ya bahari[emoji16], mm mwenyewe nimeandika hapa neno gigy inabidi ninawe kwa maji tiririka na sabuni,[emoji98] hat wewe uliyesoma sukutua mdomo wako vzr, neno GIGY ni laana iliyokubuka[emoji16][emoji16]

Sifa zinamzidi sana halafu akili hana, mikosi anajiletea mwenyew
 
Hii show ilinifanya nika mu unfollow IG.

Too much nudity. Mtu akikukuta unaangalia inakujaribia reputation.
 
usipende kuwaamini wasanii inawezekana hta vile vituko vya gigy vilipangwa coz kila alichofanya kinarikodiwa inamaana kuna mtu alikuwa na kazi ya kuchukua yale matukio na gigy ndio scene zake hizo za ukolofi
Mimi mwenyewe Wife material 1 nilifuatilia. Alivyo kuja kusema ilikuwa scripted, nikaona huyu msen.ge anatupotezea muda.

Kwahiyo wanaofikiri Gig anajifanyia tu, wafikiri tena.

Wewe fikiri tu, why Gig in the first place ???
 
Binamu nae unashabikia ule upuuzi, mi nilishangaa ile post Eric akiwa na mdada wa Tz hadi nipples zinaonekana kabisa halafu wanakiss what the **** was that, show ya kihuni bora tu wai cancel
Hehehe walizidi etii
 
Mimi mwenyewe Wife material 1 nilifuatilia. Alivyo kuja kusema ilikuwa scripted, nikaona huyu msen.ge anatupotezea muda.

Kwahiyo wanaofikiri Gig anajifanyia tu, wafikiri tena.

Wewe fikiri tu, why Gig in the first place ???
hawa watu sio wa kuwachukulia siliaz sana, kama unakumbuka juzi tuh hpa Mange aliingilia ishu ya Mobeto na Kajala kilichotokea hatujui ila aliachana nao akaendelea na shughuli zake
 
Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania

Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana View attachment 1722908

Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .

Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
Rudisheni home haraka Sana hyo pimbi
 
Back
Top Bottom