Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Msandossss mzee wa kupima oil..Demu wa Msando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msandossss mzee wa kupima oil..Demu wa Msando
Inabidi umpeleke kwa yule mganga wakoKashatupiwa jini makata, lol
Labda wowowoGigy wamemchukua kushiriki kwa vigezo vipi?
Wewe sio mtanzania ni mkenya...naona unampondea gigy.Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania
Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana View attachment 1722908
Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .
Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
Tako limeisha sijui lilipatwa na shida gani?!!Labda wowowo
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita kwa kosa la kusambaza 'maudhui chafu' kwenye mitandao ya kijamii.
Eric, ambaye awali, alikuwa amepewa onyo kali na Bodi ya kudhibiti filamu nchini Kenya KFCB anadaiwa kueneza tabia zisizo za kimaadili kupitia filamu inayojulikana kama 'Wife Material'
Eric anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.
View attachment 1722899View attachment 1722900
Yani gigy kukazwa na yule mnaijeria eti nae anajikuta mnaija?!...na kingereza cha kinaija?!...gigy ni raisi wa matahiraGiggy anabore jamani anajikutaga sijui nani[emoji849][emoji849]