Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa

Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa

Giggy anabore jamani anajikutaga sijui nani[emoji849][emoji849]
 
Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania

Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana View attachment 1722908


Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .

Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
Wewe sio mtanzania ni mkenya...naona unampondea gigy.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita kwa kosa la kusambaza 'maudhui chafu' kwenye mitandao ya kijamii.

Eric, ambaye awali, alikuwa amepewa onyo kali na Bodi ya kudhibiti filamu nchini Kenya KFCB anadaiwa kueneza tabia zisizo za kimaadili kupitia filamu inayojulikana kama 'Wife Material'

Eric anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.

View attachment 1722899View attachment 1722900


Alishaachiwa
 
Inasemekana Eric alimtukana muheshimiwa mmoja mwenye nafasi yake, ndio maana anafanyiwa hivi ili kukomolewa. Waafrika ndio tulivyo, watu wanatumia vyeo vyao kukukomesha kwasababu binafsi.
 
Giggy nae ndani ya timu...

Wanawake wake juzi tu walitiwa ndani wote...
 
Wanaume mnakwama wapi kuwaweka hao wife matiriozi ndani? watu na mishepu yao jamani kwanini msiwaoe?
 
Tatizo la gigy...Unapokulia uswahilini halafu ukakimbia na shule kwa kigezo cha kuitafuta fedha mapema...mambo ya kijinga kwako ni sifa ila wanojielewa wanakuona katuni
 
Back
Top Bottom