Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Jamani mkimuona ma mdogo wenu hamtanilaumu mimi kumuita huyu mzuri.Inategemea kwako uzuri maana yake nini
kama kweli huyu ni mwanamke mzuri basi, wanawake wazuri wametoweka kama faru john.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mkimuona ma mdogo wenu hamtanilaumu mimi kumuita huyu mzuri.Inategemea kwako uzuri maana yake nini
kama kweli huyu ni mwanamke mzuri basi, wanawake wazuri wametoweka kama faru john.
Mwanamke mzuri yuko wapi hapo?
Alikuwa bize kusaka jiko maana alizingatia usemi usemao mshika mawili moja humponyokaSawa kiongozi, ila amepotea kwenye tasnia. Ni muda mrefu sijaona harakati zake
Uzuri wake umeridhika nae, ndio kitu muhimu sana katika ndoa au mahusiano, maana nasie tunaopenda wanaweke wazuri cha moto tunakiona. juzi chupuchupu kupelekwa segerea, nimempasua shemeji yenu.Jamani mkimuona ma mdogo wenu hamtanilaumu mimi kumuita huyu mzuri.
Haya bwana. Ila kama ndio hivyo akianza kusaka watoto ndio atapotea kabisaaAlikuwa bize kusaka jiko maana alizingatia usemi usemao mshika mawili moja humponyoka
Mkuuu umenifanya nicheke [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] maana kusaka ambavyo havionekani ni kazi ngumu na inahitaji utulivu wa kutoshaHaya bwana. Ila kama ndio hivyo akianza kusaka watoto ndio atapotea kabisaa