LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Kwani wamekua nyuki mpaka wayatambue?? They do it for fasheni and mapichaHivi mabibi harusi wanatambua thamani na maana ya ua wanaloshikilia mkononi siku ya kufunga harusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wamekua nyuki mpaka wayatambue?? They do it for fasheni and mapichaHivi mabibi harusi wanatambua thamani na maana ya ua wanaloshikilia mkononi siku ya kufunga harusi?
Dah usimpige tena mwanamke bwana, natumaini utakua umejifunza kitu.Uzuri wake umeridhika nae, ndio kitu muhimu sana katika ndoa au mahusiano, maana nasie tunaopenda wanaweke wazuri cha moto tunakiona. juzi chupuchupu kupelekwa segerea, nimempasua shemeji yenu.
Nawe pia, mbona umepotea hivyo?Happy new year....
alikuwa na kazi ya kutafuta papuchHata me sijamwona mda kweli.
kweli kabisa nimekomaa, yaani nilimpiga kichwa kama mwanaume mwenzangu, akapoteza fahamu dakika kadhaa. nami nafikiria kutafuta mwanamke wakawaida. hawa wazuri presha watatuuaDah usimpige tena mwanamke bwana, natumaini utakua umejifunza kitu.
hanywi pombe kabisaMasele katika real life naamini ni chapombe pia. Anyway hongera zake
Kwenye pichaMwanamke mzuri yuko wapi hapo?
KWANN?Masele katika real life naamini ni chapombe pia. Anyway hongera zake
duhKwani wamekua nyuki mpaka wayatambue?? They do it for fasheni and mapicha
kama kweli huyu ni mwanamke mzuri basi, wanawake wazuri wametoweka kama faru john.