Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma.
Akiweka wazi gharama alizotumia, Said amesema ametumia zaidi ya TSh milioni 7 kutengeneza na kusambaza bango hilo, likiwa limewekwa Dodoma.
Mh! yani sisi vijana ndio maana nchi wanapeana wazee tu na wanafanya watakavyo wanajua wakiileta kwetu tutaifanya vibaya mno kama akili zenyewe ndo hizi!
Vijana wengi kwasasa wamejaza ugali tu kichwani.
Angempa hata mamaake cash angempa baraka zaidi, hilo bango ili iweje.
Hatujui labda hata hiyo pesa kapewa na mamaake huko juu .afanye hivyo.
Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma.