ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wa wapi huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.
Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba kwa sasa anajiandaa kuelekea Kibaha mahali ulipo.
“Msiba upo Kibaha hapa ndio tunajiandaa kuchomoka kwenda mimi natokea nyumbani kwangu Chanika, nilipata taarifa za karibu kutoka kwa Camera Man Yoso tuliyekuwa nae Kwenye kambi ya vituko show, aliniambia anaumwa TB kuna kipindi akaanza kukaa sawa lakini baadae kansa ya ngozi ikaibuka, leo Alfajiri napigiwa simu naambiwa amefariki Alfajiri, nyumbani”
Labda ngomaVituko show ishapoteza mtu wa tano Kama sikosei
Yule Sheri Magari alikuwa na tako sio poa....nae aliondoka na TB, inaelekea huko kambini mambo yalikuwa mwemwele mwemwele....Vituko show ishapoteza mtu wa tano Kama sikosei