Mchele 3200kg, maharage 3000kg na mahindi 100 yamefika 140k

Mchele 3200kg, maharage 3000kg na mahindi 100 yamefika 140k

Mfuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!

Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.

R.I.P JPM.
Ccm mbere kwa mbere. Sasa mnamlilia nani?
 
JPM sasa mnamgeuza kama mungu mtu wenu.

Ukame uliokuwepo mwishoni mwa mwaka jana wengi hawakulima, kinachosababisha bei ya mchele upande ni ile stock iliyokuwepo kabla ndio inauzwa sasa, na baadhi ya wachache waliolima na kuvuna mwaka jana.

Kwani JPM angekuwepo ndio angeleta mvua?
 
Mfuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!

Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.

R.I.P JPM.
Mkuu walanguzi na madalali wa mazao watakuja kukutolea povu hapa na kukuambia kwamba na wewe ukalime...
 
Mfuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!

Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.

R.I.P JPM.
Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi?

Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini.

Yaani nyie mlivyo wajinga hata mkiwa hampati haja kubwa vizur kwa kutokunywa maji na matunda,mtasema bora wakati wa Jpm tulikuwa tunakunya vizuri haja laini
 
Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi????

Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini,
Yaani nyie mlivyo wajinga hata mkiwa hampati haja kubwa vizur kwa kutokunywa maji na matunda,mtasema bora wakati wa Jpm tulikuwa tunakunya vizuri haja laini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi????

Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini...
Alizuia ku export mazao nje ikibidi ili kupunguza mfumuko wa bei ya vyakula maana wafanyabiashara wamesafirisha kwa kiwango kikubwa kwa sasa kuliko volume ya chakula kilichopo.

Kuna muda maamuzi yake yalisaidia kubalance hizi ishu na sio kukaa kimya na kubariki tozo za ajabu ajabu.
 
JPM sasa mnamgeuza kama mungu mtu wenu.

Ukame uliokuwepo mwishoni mwa mwaka jana wengi hawakulima, kinachosababisha bei ya mchele upande ni ile stock iliyokuwepo kabla ndio inauzwa sasa, na baadhi ya wachache waliolima na kuvuna mwaka jana.

Kwani JPM angekuwepo ndio angeleta mvua?
Hivi JPM alibarikiwa vipi hadi kupelekea kipindi cha Utawala wake hakukutokea ukame?!
 
Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!

Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.

R.I.P JPM.
Viongozi wa sasa ukimtaja tu JPM ndo wanaongeza pamba masikioni afu wanakunja ndita😠😠😠😠😠

Sijui aliwakosea nn, hata MAZURI yake hawataki yasikia!!!!!!
 
Alizuia ku export mazao nje ikibidi ili kupunguza mfumuko wa bei ya vyakula maana wafanyabiashara wamesafirisha kwa kiwango kikubwa kwa sasa kuliko volume ya chakula kilichopo .. Kuna muda maamuzi yake yalisaidia kubalance hizi ishu na sio kukaa kimya na kubariki tozo za ajabu ajabu.
Hio mbinu ya kuzuia mazao ya wakulima waliogharamia kwa gharama kubwa kwa mtaji wa kuunga unga ili uwape nafuu walaji.

Ni mbinu ya kishamba sana na ya kijinga sana.

Inafanywa na viongozi wenye uono mdogo.

Maana unaumiza wakulima asilimia 60 na kuendelea kuwafanya wawe maskini, unaua mtaji wao mwakani hawezi kulima Tena, kwa kumzuia asiuze soko analotaka lenye faida.

Kiongozi mwenye akili ya kusaidia wananchi wake ataboresha mazingira ya kilimo ,(nchi hii in maji ya kutosha ,) ili kuongeza production sio kupungaza demand , sio kuzuia mazao ya wakulima maskini kwenda kwenye soko la maana.
 
Jana kwenye ziara ya Makamu wa rais Hapa Mwanza kulikuwepo na msanii anayeigiza sauti za viongozi, katika kuigiza akaweka sauti ya Jiwe na kushangiliwa kwa nderemo na vifijo hadi jukwaa kuu.

Inafikirisha sana kwanini huyu mwamba amegoma kutoka mioyoni mwa watu, kwanini Magufuli lakini?
 
Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi?
Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini...
Angalau JPM angelituhimiza tumuombe Mungu wa Mbinguni kuhusu mvua kunyesha. Siku hizi tuna viongozi wakitaka kunukuu maneno ya Misahafu wanaomba ruksa kwa Amiri Jeshi Mkuu. Mungu wa Mbinguni hadhihakiwi fahamu hilo.
 
JPM sasa mnamgeuza kama mungu mtu wenu.

Ukame uliokuwepo mwishoni mwa mwaka jana wengi hawakulima, kinachosababisha bei ya mchele upande ni ile stock iliyokuwepo kabla ndio inauzwa sasa, na baadhi ya wachache waliolima na kuvuna mwaka jana.

Kwani JPM angekuwepo ndio angeleta mvua?
Jpm alikua na mbaraka tangu aingie madarakani nchi haikuwahi kuwa na ukame..pia alijitahidi kuzuia uuzwaji holela wa mazao nje ya nchi.

Ukidhibiti chakula maisha hayawezi kuwa magumu.

Sasa wahuni walichokifanya..mvua chache bado wakafungua mipaka yote..unategemea nn hapo zaidi ya maumivu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!

Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.

R.I.P JPM.
Bashe ametufikisha pabaya sana
 
Jpm alikua na mbaraka tangu aingie madarakani nchi haikuwahi kuwa na ukame..pia alijitahidi kuzuia uuzwaji holela wa mazao nje ya nchi...
Baraka za maiti za kwenye viroba na kushambulia watu risasi Kama wanaua nyati! au
 
Back
Top Bottom