Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakulima hawajapandisha bei bali madalali ndiyo wanatutesa.Viwanda vimepandisha bidhaa Bei why not wakulima ?
Sasa unaona ajabu watu wa Mwanza kumshangilia mtu anayeigiza sauti ya Magufuli?Jana kwenye ziara ya Makamu wa rais Hapa Mwanza kulikuwepo na msanii anayeigiza sauti za viongozi, katika kuigiza akaweka sauti ya Jiwe na kushangiliwa kwa nderemo na vifijo hadi jukwaa kuu.
Inafikirisha sana kwanini huyu mwamba amegoma kutoka mioyoni mwa watu, kwanini Magufuli lakini?
Asilimia kubwa mapito tunayopitia sasa hivi kama nchi, madhara yameanzia kwenye utawala wa Magu. Alivuruga sana upande wa zao la korosho. Pia kwenye mahindi akazuia wakulima kuuza nje, hii iliyumbisha sana mitaji ya wakulima wengi.Hivi JPM alibarikiwa vipi hadi kupelekea kipindi cha Utawala wake hakukutokea ukame?!
Asilimia kubwa mapito tunayopitia sasa hivi kama nchi, madhara yameanzia kwenye utawala wa Magu. Alivuruga sana upande wa zao la korosho. Pia kwenye mahindi akazuia wakulima kuuza nje, hii iliyumbisha sana mitaji ya wakulima wengi.
Unajua tatizo tulilonalo watanzania wengi ni wabinafsi sana,tena sana. Imagine mtu analima msimu mzima kwa tabu, anatumia gharama zake, alaf inapofika muda wa kuuza mazao walau arudishe gharama zake na faida, analazimishwa kuuza kwa Bei ya chini ili kunufaisha walaji. Walaji wanaweza kuona serikali imefanya jambo jema kwavile wao wanapata chakula, ila haiangalii upande wa mkulima.
Serikali ilichotakiwa ni either kununua Yale mazao kwa Bei nzuri ili isimlalie mkulima, au waweke mazingira mazuri kwa wakulima kwa kuwapunguzia gharama za pembejeo za kilimo, ili kipindi cha mavuno basi wasiwe kwenye ulazima wa kuuza mazao Yao kwa gharama kubwa.
Mvua na hali ya hewa sio kitu pekee kilicho sababisha vyakula kupanda, baada ya seke seke zilizopita, wakulima wengi wamelima kwa kiwango kidogo kwa kuhofia kutumia gharama kubwa alaf return iwe ndogo. Lakini pia kupanda kwa Bei ya mbolea, imelimit wakulima na kiwango cha ulimaji.
sina uhakika sana na hoja zako.mkoa wa ruvuma unachakula cha kutosha kwa zaidi ya miaka 12 soma gazeti la jamvi la tarehe 14.09.2022 na bado bei ya mahindi ruvuma si kubwa kiasi hicho.pia wanaotumiza wananchi ni wafanya biashara na si mkulima.hakuna mkulima nayeweza kuuza mazao yake nje ya nchi na kama wapo basi ni wachache sana.wafanya biashara ndo wa kulaumiwa,wanachulia lophole ya majanga yanayotokea kupandisha bei.Asilimia kubwa mapito tunayopitia sasa hivi kama nchi, madhara yameanzia kwenye utawala wa Magu. Alivuruga sana upande wa zao la korosho. Pia kwenye mahindi akazuia wakulima kuuza nje, hii iliyumbisha sana mitaji ya wakulima wengi.
Unajua tatizo tulilonalo watanzania wengi ni wabinafsi sana,tena sana. Imagine mtu analima msimu mzima kwa tabu, anatumia gharama zake, alaf inapofika muda wa kuuza mazao walau arudishe gharama zake na faida, analazimishwa kuuza kwa Bei ya chini ili kunufaisha walaji. Walaji wanaweza kuona serikali imefanya jambo jema kwavile wao wanapata chakula, ila haiangalii upande wa mkulima.
Serikali ilichotakiwa ni either kununua Yale mazao kwa Bei nzuri ili isimlalie mkulima, au waweke mazingira mazuri kwa wakulima kwa kuwapunguzia gharama za pembejeo za kilimo, ili kipindi cha mavuno basi wasiwe kwenye ulazima wa kuuza mazao Yao kwa gharama kubwa.
Mvua na hali ya hewa sio kitu pekee kilicho sababisha vyakula kupanda, baada ya seke seke zilizopita, wakulima wengi wamelima kwa kiwango kidogo kwa kuhofia kutumia gharama kubwa alaf return iwe ndogo. Lakini pia kupanda kwa Bei ya mbolea, imelimit wakulima na kiwango cha ulimaji.
Hapo ndio watanzania wenzangu mnaponichoshaga, ikiwa unaona nilichoongea sio sawa au sio sahihi, hutakiwi kuninyamazisha, Bali unatakiwa wewe uongee kile ambacho unahisi Mimi sijui ili niweze kukijua. Yawezekana nilichonacho sio sahihi, na nisiposahihishwa nitaendelea kukieneza.ndugu yangu we hujui kitu kaa kimya magu ndo kakomboa zao la korosho kabla yake korosho ilikua 1500-1800 kwa kilo lakini ye kaja kapandisha thaman ya korosho wew itakua sio mmakonde ndo maana unalopoka longera Chinu cha kueleweka bhana......
Ni kweli, wakulima wengi hawana direct connection na soko la nje ya nchi, lakini kama wanaweza kuuza kwa wafanyabiashara kwa Bei nzuri, why not?sina uhakika sana na hoja zako.mkoa wa ruvuma unachakula cha kutosha kwa zaidi ya miaka 12 soma gazeti la jamvi la tarehe 14.09.2022 na bado bei ya mahindi ruvuma si kubwa kiasi hicho.pia wanaotumiza wananchi ni wafanya biashara na si mkulima.hakuna mkulima nayeweza kuuza mazao yake nje ya nchi na kama wapo basi ni wachache sana.wafanya biashara ndo wa kulaumiwa,wanachulia lophole ya majanga yanayotokea kupandisha bei.
Sure. Anatakiwa akalimeMkuu walanguzi na madalali wa mazao watakuja kukutolea povu hapa na kukuambia kwamba na wewe ukalime...
Sera za kuzuia export na wakulima kupata bei ya chini ndizo zimetufikisha hapa. vijana hawalimi tena, wanaendesha bodaboda. wazee waliokua wanalima wamechoka na wengine kufa. Madhara ya kumnyonya mkulima ndiyo yanaanza kuonekana.Alizuia ku export mazao nje ikibidi ili kupunguza mfumuko wa bei ya vyakula maana wafanyabiashara wamesafirisha kwa kiwango kikubwa kwa sasa kuliko volume ya chakula kilichopo.
Kuna muda maamuzi yake yalisaidia kubalance hizi ishu na sio kukaa kimya na kubariki tozo za ajabu ajabu.
Tuna rais wa ajabu kabisa, ni yeye aliyewahamasisha wafanyabishara kupandisha bei za bidhaa. Rais anatamka hadharani kuwa kila kitu kitapanda nao wamemwitikiaMfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
hzo bei zko mkoa gan mkuu!Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Darhzo bei zko mkoa gan mkuu!