Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ccm mbere kwa mbere. Sasa mnamlilia nani?Mfuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Mkuu walanguzi na madalali wa mazao watakuja kukutolea povu hapa na kukuambia kwamba na wewe ukalime...Mfuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi?Mfuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi????
Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini,
Yaani nyie mlivyo wajinga hata mkiwa hampati haja kubwa vizur kwa kutokunywa maji na matunda,mtasema bora wakati wa Jpm tulikuwa tunakunya vizuri haja laini
Alizuia ku export mazao nje ikibidi ili kupunguza mfumuko wa bei ya vyakula maana wafanyabiashara wamesafirisha kwa kiwango kikubwa kwa sasa kuliko volume ya chakula kilichopo.Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi????
Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini...
Hivi JPM alibarikiwa vipi hadi kupelekea kipindi cha Utawala wake hakukutokea ukame?!JPM sasa mnamgeuza kama mungu mtu wenu.
Ukame uliokuwepo mwishoni mwa mwaka jana wengi hawakulima, kinachosababisha bei ya mchele upande ni ile stock iliyokuwepo kabla ndio inauzwa sasa, na baadhi ya wachache waliolima na kuvuna mwaka jana.
Kwani JPM angekuwepo ndio angeleta mvua?
Viongozi wa sasa ukimtaja tu JPM ndo wanaongeza pamba masikioni afu wanakunja ndita😠😠😠😠😠Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Hio mbinu ya kuzuia mazao ya wakulima waliogharamia kwa gharama kubwa kwa mtaji wa kuunga unga ili uwape nafuu walaji.Alizuia ku export mazao nje ikibidi ili kupunguza mfumuko wa bei ya vyakula maana wafanyabiashara wamesafirisha kwa kiwango kikubwa kwa sasa kuliko volume ya chakula kilichopo .. Kuna muda maamuzi yake yalisaidia kubalance hizi ishu na sio kukaa kimya na kubariki tozo za ajabu ajabu.
Angalau JPM angelituhimiza tumuombe Mungu wa Mbinguni kuhusu mvua kunyesha. Siku hizi tuna viongozi wakitaka kunukuu maneno ya Misahafu wanaomba ruksa kwa Amiri Jeshi Mkuu. Mungu wa Mbinguni hadhihakiwi fahamu hilo.Sasa Jpm alikuwa na mashamba ya mpunga na mahindi?
Au alikuwa anahamrisha mvua inyeshe? Nyie kumbe sio wazima kichwani! Mwaka jana mvua hazikuwa za kutosha na mwaka huu pia, na ndio chanzo Cha Hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini...
Jpm alikua na mbaraka tangu aingie madarakani nchi haikuwahi kuwa na ukame..pia alijitahidi kuzuia uuzwaji holela wa mazao nje ya nchi.JPM sasa mnamgeuza kama mungu mtu wenu.
Ukame uliokuwepo mwishoni mwa mwaka jana wengi hawakulima, kinachosababisha bei ya mchele upande ni ile stock iliyokuwepo kabla ndio inauzwa sasa, na baadhi ya wachache waliolima na kuvuna mwaka jana.
Kwani JPM angekuwepo ndio angeleta mvua?
Bashe ametufikisha pabaya sanaMfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Baraka za maiti za kwenye viroba na kushambulia watu risasi Kama wanaua nyati! auJpm alikua na mbaraka tangu aingie madarakani nchi haikuwahi kuwa na ukame..pia alijitahidi kuzuia uuzwaji holela wa mazao nje ya nchi...