miradibubu
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 312
- 85
Wadau kwa heshima naomba kuwajulisha kuwa ninamchele mzuri sana daraja la kwanza! Mchele huu ninauuza kwa shilingi 1300 kwa sasa upo Dar es salaam! Pia tupo tayari kumletea mtu kokote aliko kutegemeana na mzigo atakaouhitaji! Tafadhali furahia mchele mtamu na unaonukia vizuri sana! Hutajutia kuupata mchele huu! Karibuni kwa biashara zaidi 0754690891