Mchele daraja la kwanza kwa bei nafuu unapatikana

Mchele daraja la kwanza kwa bei nafuu unapatikana

Mkuu nini hicho?

Nyie ndio viherehere mnaolamba wazungu miguu!
Sasa unataka kujifanya we hodaaari!
Mfnssssssss!

Mavi ya joloe!

Nunua mchele huko! Km huna kitu kale ugali mpaka ukuue!
 
Nyie ndio viherehere mnaolamba wazungu miguu!
Sasa unataka kujifanya we hodaaari!
Mfnssssssss!

Mavi ya joloe!

Nunua mchele huko! Km huna kitu kale ugali mpaka ukuue!

Hahaha mkuu mbona unavunja mbavu zangu? Wa hivyo wapo tu mkuu ni kuwapotezea tu!
 
Nitakuja hapo muda mfupi ujao. naitwa Une, ubarikiwe.

Amen nakukaribisha sana na kwa hakika mchele ni mwingi na wa aina tofauti! Ukiwa wahitaji wa biashara pia bei utapewa nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom