TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hahahh kuku tunafuga ila mwezi huu kuna ka ugonjwa kamepita na kuku kama wote kumi na!Fuga kuku wa kienyeji kama una nafasi.
70,000 Tsh,Mafuta ya alizeti imefika 90,000 dumu la lita 20 na 5,000 kwa Lita huku.
Hilo ndio tatizo la watu wa mikoani yaani mnaonaga waliopo darislaam wana heeeela,kumbe ushuzi mtupu😂😂😂😂Acheni kulialia nyie watu wa dathramu, kitu kidogo tu vilio na kuifanya iwe ishu ya kitaifa... hamtaki wafugaji wanufaike nyie si matajiri!
Merry Xmass💥70,000 Tsh,
Mbona tuna exaggerate Mambo
Iringa Ni 90k70,000 Tsh,
Mbona tuna exaggerate Mambo
Merry Xmass kwako pia mpendwaMerry Xmass[emoji95]
Waambie waunde tume ili kujua chanzo.Ng'ombe afuge mwingine bei apange "mfunga tai"shingoni!Habari wadau!
Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka.
Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta mifumuko yao katika bei ya nyama, ghafla imepanda kutoka elfu 6 mpaka elfu 10 kweli hii nchi watu hawaishi vituko sasa sijuhi kuna logic gani ya kupandisha bei ya nyama hivyo.
Tunaomba serikali iingilie kati hawa wanaopandisha pandisha bei kiholela siku kama hizi.
Mbona elfu 10 kwa kilo ndio bei ya kila siku bwashee?Habari wadau!
Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka.
Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta mifumuko yao katika bei ya nyama, ghafla imepanda kutoka elfu 6 mpaka elfu 10 kweli hii nchi watu hawaishi vituko sasa sijuhi kuna logic gani ya kupandisha bei ya nyama hivyo.
Tunaomba serikali iingilie kati hawa wanaopandisha pandisha bei kiholela siku kama hizi.
Mwanaume mzima unakula steki pekee.??Mbona elfu 10 kwa kilo ndio bei ya kila siku bwashee?
Au huwa unanunua " mchanganyiko"!!!
Mchanganyiko wanawekaga nyama ya jana, utumbo mapupu nk nk kwa 6000/=Mwanaume mzima unakula steki pekee.??