TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka.
Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta mifumuko yao katika bei ya nyama, ghafla imepanda kutoka elfu 6 mpaka elfu 10 kweli hii nchi watu hawaishi vituko sasa sijuhi kuna logic gani ya kupandisha bei ya nyama hivyo.
Tunaomba serikali iingilie kati hawa wanaopandisha pandisha bei kiholela siku kama hizi.