Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
hahahhaha Ban mpaka kwa watoa thanks?! kweli sredi imo 😀
Mie nilikuwa napita kuwasalimia tu.........labda Ban linaweza kunisamehe
Mie nilikuwa napita kuwasalimia tu.........labda Ban linaweza kunisamehe
hehe mwalim hii sredi ukichangia unatakiwa kuweka vidole hewani. sijui umeweka? na nakushauri hata thanks usigonge kwani nadhani mwisho wa hii sredi ni kupigwa ban hata waliogonga senks lol