Mchele wa kyela

Mchele wa kyela

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
76
Reaction score
81
Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar

Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
 
Nami naongeza swali.
- je ni mchele wa wapi ule ambao ukiupika, kuna kaharufu fulani kazuri, kaharufu kanafika hadi mtaa wa pili.
==
My take | Sijawahi fuatilia ili kujua mchele/wali ninaokula unatoka wapi?
 
Sio dar tu naona demand yake ni Tanzania nzima ,ule mchele unanukia vizuri na ni mzuri kwa ubora,unaweza kula bila hata mboga ulivyo mtamu. nenda mbeya kauchukue mwenyewe upate ule og utaona ulivyo mzuri
 
Ndiyo huo unaotoka mbeya
 
Sio dar tu naona demand yake ni Tanzania nzima ,ule mchele unanukia vizuri na ni mzuri kwa ubora,unaweza kula bila hata mboga ulivyo mtamu. nenda mbeya kauchukue mwenyewe upate ule og utaona ulivyo mzuri
Bei take kwa dar ni sh ngapi
 
Sio dar tu naona demand yake ni Tanzania nzima ,ule mchele unanukia vizuri na ni mzuri kwa ubora,unaweza kula bila hata mboga ulivyo mtamu. nenda mbeya kauchukue mwenyewe upate ule og utaona ulivyo mzuri
Soko la Dar es salaam limejaa michele ya Shinyanga, Tabora, Magugu na Malampaka halafu yote wanaandika "Mchele Safi kutoka Mbeya"
 
Mchele bora ni mbeya, ila pia hata mchele wa Magugu pia ni mzuri sana, unaweza kuzidi wa mbeya isipokuwa huwa supply ni ndogo kuliko demand, ni maarufu sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwa mikoa ya Manyara,Arusha, kilimanjaro na kanda ya kati kidogo
 
Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar

Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
Hakuna mchele kutoka kyela hapo dar ni majina tu mchele wa kyela wafanyabiashara kutoka zenji huwa wanaweka oda mapema ukiwa shambani
 
Back
Top Bottom