Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami naongeza swali.Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
Kamsamba hiyoooNami naongeza swali.
- je ni mchele wa wapi ule ambao ukiupika, kuna kaharufu fulani kazuri, kaharufu kanafika hadi mtaa wa pili.
==
My take | Sijawahi fuatilia ili kujua mchele/wali ninaokula unatoka wapi?
Sio dar tu naona demand yake ni Tanzania nzima ,ule mchele unanukia vizuri na ni mzuri kwa ubora,unaweza kula bila hata mboga ulivyo mtamu. nenda mbeya kauchukue mwenyewe upate ule og utaona ulivyo mzuriKwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar
Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
Ndiyo huo unaotoka mbeyaNami naongeza swali.
- je ni mchele wa wapi ule ambao ukiupika, kuna kaharufu fulani kazuri, kaharufu kanafika hadi mtaa wa pili.
==
My take | Sijawahi fuatilia ili kujua mchele/wali ninaokula unatoka wapi?
Soko la Dar es salaam limejaa michele ya Shinyanga, Tabora, Magugu na Malampaka halafu yote wanaandika "Mchele Safi kutoka Mbeya"Sio dar tu naona demand yake ni Tanzania nzima ,ule mchele unanukia vizuri na ni mzuri kwa ubora,unaweza kula bila hata mboga ulivyo mtamu. nenda mbeya kauchukue mwenyewe upate ule og utaona ulivyo mzuri
Hakuna mchele kutoka kyela hapo dar ni majina tu mchele wa kyela wafanyabiashara kutoka zenji huwa wanaweka oda mapema ukiwa shambaniKwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar