Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

Akili za kipumbavu. Hao wanaokula huo mchele wapo wengi kiasi gani? Chanjo za Corona mlichanja. Mnakuja kulalamika kwenye mchele. Na je hamna wanasayansi wa kuupima? Si zichukuliwe samples ukapimwe? Condoms mnategemea za msaada. Chanjo zote zinatoka nje hakuna hata moja inayotengenezwa hapa. Wasiwazuie kuzaa kupitia hizo mje zuiliwa kuzaa kupitia mchele kwa wanafunzi? Watanzania wengi hamna akili na mnapenda udaku.
 
Reactions: JMF
Hadi vyoo mnapewa msaada mnajifanya kulalamikia mchele huo tu kiasi. Mwaka flan ZANZIBAR ULIINGIZWA MCHELE MBOVU, MWAKA MWINGINE NGANO MBOVU. ninyi waswahili ni wanafiq sana.
 
Hadi vyoo mnapewa msaada mnajifanya kulalamikia mchele huo tu kiasi. Mwaka flan ZANZIBAR ULIINGIZWA MCHELE MBOVU, MWAKA MWINGINE NGANO MBOVU. ninyi waswahili ni wanafiq sana.
Wewe kapange foleni na familia yako au jenga bweni kabisa uletewe tani za kutosha!
 
Kwani si wapeleke sudan na congo!
 
Wewe kapange foleni na familia yako au jenga bweni kabisa uletewe tani za kutosha!
Sisi hatuhitaji tunamshukuru Rais mimi napata safari za nje kila mara napata per diem, napata marupurupu. Nina uwezo wa kununua mchele safi ule wanaita wa Kyela. Ulichanjwa Corona? Chanjo ulitoa wapi?
 
Nenda tanga au bagamoyo simu wa mavuno wa matunda au mbeya msimu wa michele/mahindi uone mavyakula yalivyo mengi.

wakati tunasoma kulikuwa na kipindi cha Sayansi kimu hapa tulipata elimu ya lishe ,watoto kudumaa ni elimu duni ya lishe kutoka kwa wazazi ,hapa hatuhitaji GMO bali elimu tu.
 
Sisi hatuhitaji tunamshukuru Rais mimi napata safari za nje kila mara napata per diem, napata marupurupu. Nina uwezo wa kununua mchele safi ule wanaita wa Kyela. Ulichanjwa Corona? Chanjo ulitoa wapi?
Sikuwahi kuona hata kichupa chake kinafananaje,kuhusu safari za nje nimeingia jana jioni toka ughaibuni si na jmatano naruka tena si kwa msaada wa raisi!
 
Sikuwahi kuona hata kichupa chake kinafananaje,kuhusu safari za nje nimeingia jana jioni toka ughaibuni si na jmatano naruka tena si kwa msaada wa raisi!
Si msaada ndo kazi zetu. Nashukuru kwa kuwa anaposafiri anafungua njia kwetu sote
 
mradi huu haujaanza kutekelezwa sasa, ni tangu miaka kadhaa ilopita. Tangu umeanza kutekelezwa, umeonyesha mafanikio na matokeo mazuri sana, utapia mlo umepungua sana eneo lile, na kwa awamu hii ya utekelezaji wa mradi huenda utapia mlo, minyoo na kiriba tumbo vitatokomea kabisa huko Dodoma 🐒

ni vuzuri kuepusha taharuki 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…