GE2025 Mchengerwa: 2015 nilikuta shule za msingi zipo 19 tu, sasa hivi zipo 63

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu?

Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa. Hajazungumzia kuhusu walimu, miundombinu kama shule n.k

Kwa population ya huko Pwani ilivyo, hilo nalo ni jambo la kujisifia?

Watanzania hamueleweki. Jimbo likikosa maendeleo analaumiwa mbunge kuwa hafanyi Nazi inavyopaswa, ila likipata maendeleo inakuwa sio kazi ya mbunge bali kodi
 
Contradiction iko wapi hapo mkuu?

Mchengerwa ndo anatoa hela mfukoni mwake "kujenga" shule?
 
Hizo shule zimetoa watu wa namna gani mwisho wa siku? au ilimradi tu watu wahitimu inatosha.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Wakuu,

Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu?

Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa. Hajazungumzia kuhusu walimu, miundombinu kama shule n.k

Kwa population ya huko Pwani ilivyo, hilo nalo ni jambo la kujisifia?

Naona kashika mic ya kituo chake cha radio
 
Back
Top Bottom