Watanzania hamueleweki. Jimbo likikosa maendeleo analaumiwa mbunge kuwa hafanyi Nazi inavyopaswa, ila likipata maendeleo inakuwa sio kazi ya mbunge bali kodi
Ila lingekuwa na shule chache na watoto wnasomea chini ya mti so angelaumiwa Mchengerwa?Contradiction iko wapi hapo mkuu?
Mchengerwa ndo anatoa hela mfukoni mwake "kujenga" shule?
Naona kashika mic ya kituo chake cha radioWakuu,
Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu?
Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa. Hajazungumzia kuhusu walimu, miundombinu kama shule n.k
Kwa population ya huko Pwani ilivyo, hilo nalo ni jambo la kujisifia?