BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Anachofanya Waziri Mchengerwa kwa wananchi wa Jimbo lake la Rufiji walioathirika na mafuriko ni nadra sana kukiona kikifanyika kwa kiongozi wa ngazi ya juu ya Uwaziri.
Waziri Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge wa Rufiji ameongoza wadau mbalimbali kutoa misaada ya chakula na malazi kwa wananchi wake walioathirika na mafuriko Jimboni humo.
Tayali Waziri Mchengerwa ametoa milioni 40 kwa ajili ya kununua mbegu kwa wananchi wake walioathirika na mashamba yao pamoja na kugawa misaada ya vyakula, malazi, magodoro na mengine mengi.
Pia soma:Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani