Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahaWatu wakidai ukaguzi Wa athari za mazingira Kwa ule mradi wa Mwenda zake, wanajiwa Juu. KULIKONI???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaWatu wakidai ukaguzi Wa athari za mazingira Kwa ule mradi wa Mwenda zake, wanajiwa Juu. KULIKONI???
Kama ulikuwa kichwani kwangu kiongozi..Haya maji ni mtaji kwakweli yakitibiwa hata kunywesha jiji la Dar,Lindi na mikoa jirani inawezekana.
🤣Wanachojali ni Uchaguzi tu. Wao hawana shida na Mpunga wala Samaki.
Nchi Nyingine ingeyavuna hayo maji.
Mkiyachepusha tu mnatengeneza mashamba maelfu na mkalima hadi kiangazi bila shida