Viongozi wasiwe wabishi wanapopewa ushauri wa kitaalamu pale wanapotaka kutekeleza miradi hata kama hiyo miradi itawapatia maokoto mengi au kutaka sifa za kijinga.
🤣
Hayo matrillioni yaliyotumika kufanyia kampeni mpaka gharama za uchaguzi wa 2024 na 2025, yangeelekezwa kwenye umwagiliaji tungekuwa mbali. Ngoja chawa waendelee kulipwa hela kusifia, anaupiga mwingi mno 🤣