Hayo ni baadhi ya effects za force account. Pesa zimekata project hazijaisha.
Force account imeweka gharama za ujenzi kuwa sawa inchi nzima kwa majengo yakufanana. Yaani ujenzi wa cost ya kujenga hospital Ilala DAR ipo sawa na ya kujenga same hospital Wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi, while kwenye mafuta wametofautisha.
Kufanya projects kubwa kwa force account kunawafanya watendaji wengi wa Halmashauri kuwa kama wasinamizi wa ujenzi (japo wanasimamia wasichokijua) na kupelekea huduma zingine za taaluma zao kuzorota. Mganga mkuu naye anahamia site.
Utofauti wa gharama za ujenzi uchangiwa na mambo mengi ikiwemo eneo husika ambalo lina effects kubwa sana na gharama za msingi wa jengo husika.
Ili dude la force account kama ikifanyika audit ya inchi nzima, hakuna mtendaji atakayebaki salama, kwani system nzima ilikuwa ni kinyume na construction inavyotaka
Serikali ya kiki. Daktari na ujenzi au pesa wapi na wapi?
Ali mradi Kila waziri anasema lake kulingana na size ya kifua chake.